Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2022

IMEINGIA YOTE EPISODE 2

Picha
IMEINGIA YOTE Episode'2' Mtunzi:Mziwanda Ilipoishia: Alitoka akiwa kajifunga taulo,alivyofungua mlango kuelekea sebureni ile anafika sebureni kuwasha taa anakutana na Menina akiwa mtupu kama alivyozaliwa kasimama Gizani akijalibu kusafisha kitandani alipokua kamwagia mambo,tena akiwa kainama ku...ma yote imerudi kwa nyuma.Menina aliwahi kuchukua shuka ili kujifunika angarao. sasa mjomba mtu kwa mshituko nae taulo likamdondoka mbele ya Menina.............................. Endelea: Mjomba mtu haraka ilibidi kurudi chumbani kwake,"Mbona umerudi bila maji au hawajalala?",Aliuliza swali hilo Mama Regina kwenda kwa Baba Regina,"Hapana washalala wote lakini nimekumbuka kwamba sijachukua Jagi la maji ili nichotee maji,"Baba Regina ilibidi kuzuga kwa style hiyo lakini upande wa mtoto wakike Menina baada ya kushuhudia bonge la dude la mjomba wake kwa jinsi alivyokua nahamu ya kuingiziwa dudu mpaka aliachama kwa hamu na nyege nyingi alizokua nazo,"Wao jamani jam...

NIPE YOTE NO:3 CHOMBEZO 18+

Picha
Chombezo: NIPE YOTE NO: 3 akarudi nyumbani kwao na kufikia bafuni akaoga na kupata msosi usiku kucha akawa anamuwaza Kessy na penzi alilo mpa akaichukuwa cm yake na kutamani angarau angekuwa na number yake ampigie au wachart kwa whatsapp akajiapia kesho pakikucha ataipata tu number ya mpenzi wake Kessy kesho yake yapata saa tatu hasubuhi Kessy akafika nyumbani kwa kina Abdu kuja kumuomba samahani mchizi wake kwani kitendo alicho mtendea sio fea kabisa akamkuta Aisha anaosha vyombo huku Husna akiwa anafagia uwanja Husna baada kumuona Kessy akatabasamu Kessy akawapa hi “naona kumekucha jana kama leo na leo kama jana mambo zenu warembo?" si tuko poa tu sijui wewe handsome boy wa t.b.t? “kwa kifupi mimi niko poa sana vipi jamaa bado kalala nini?" “ahaaa nilale wapi nishadamka kitambo tu, sauti ya Abdu akaja kukumbatiana na mshikaji wake yani kama vile hakuna kibaya kilicho tokea baina yao wakaenda kukaa katika kibaraza cha nyumba Kessy akaanza kusema “kwanza kabisa naomba unisame...

JINI WA DARAJA LA SALENDA SEHEMU YA 6

Picha
SIMULIZI: JINI WA DARAJA LA SALENDA MTUNZI: ALLY MBETU SEHEMU YA SITA IIPOISHIA; “Ewe mwanadamu, acha kumkosea heshima mtukufu mfalme, kila utakalojibu tanguliza neno mtukufu mfalme.” Mkuu wa watwana alimkumbusha tena Brighton. “Ndiyo mtukufu mfalme.” “Vizuri, Balkis.” “Mtukufu Mfalme.” “Unajua sababu ya kukutuma duniani?” “Ndiyo mtukufu mfalme.” “Mbona imekuwa kinyume?” “Mtukufu mfalme nimekwisha kujibu kila kitu.” “Bado hujanibu.” “Unataka jibu gani mtukufu mfalme?” “Sababu kuu ya kukutuma huko, hujanijibu.” “Ni kweli mtukufu mfalme shida kubwa ni kuongeza familia yetu.” “Sasa kwa nini umekaidi amri yangu, nakuomba urudi duniani akaifanye kazi niliyokutuma.” SASA ENDELEA... “Mtukufu mfalme, kupitia huyu mwanadamu nitapata mtoto unayemtaka. Nina imani tatizo lilikuwa damu zetu kukosa virutubisho. Lakini damu ya mwanadamu huwa ina virutubisho vingi.” “Hatutaki mtoto mchanganyiko.” “Lakini mtukufu mfalme si atakuwa mwanangu?” “Sipo tayari kuchanganya damu.” “Mtukufu mfalme, nami sipo ta...

SAA ZA MWISHO EPISODE 4

Picha
SAA ZA MWISHO Ep4**** S.P Owino Hatimae waliingia kijijini mama pamoja na kaka walipo fika nyumbani kwa Bibi kulikua kimya japo watu walikuwepo wengi, mama alikaribishwa vizuri kabla hajaambiwa Nini kilicho wajaza watu eneo lile ambalo lilionekana Kama kichaka kwani aliishi mamdogo tu! Huku hospitali ilimbidi dada Helena atoke nje ili niweze kuongea na nesi, nesi aliniuliza Kama ua ninashida yoyote yakiafya Ila nilimwambia shida yakudumu sina! Alikua akinitazama usoni Kama mdadisi! Ilikua saa11:40 jioni. Sas ilibidi mama aambiwe kilichotokea aliambiwa kaburi tulilo mzika mama yako limeshuka chini, najua hata mama hakuelewa kwaurahisi mpaka alipo pelekwa akakuta like kilima cha kaburi hakipo! Na walikua wakimsubiri mama ili atoe ruhusa liweze kufululiwa mama akiwa katika mshangao mkubwa aliomba vijana waliokua tayari wamechaguliwa waweze kulifukua lile kaburi!!! Ilikua saa 12:30 jioni! Dada aliingia ndani ya kile chumba akiwa na vyakula ili niweze kula kwa jioni ile. Jioni hiyo kulikua...

ZOMBI WA DAR EPISODE 5

Picha
ZOMBI WA DAR ABELUKA FILM EPISODE YA 05 TULIISHIA.... "Kijana sisi ni police usije ukaingilia kazi yetu mbwa we. unatufugia viumbe vya ajabu kwenye mjini wetu.." Aliongea Afande daudy sauti nzito, Moja kwa Moja akaenda na wenzako kufungua kile chumba alikuwa zombi. Afande Anavuta mlango kwa hasira na kutazama ndani, lakini alichokiona mbele yake duuh!!! ENDELEA.... "Huyu ndo zombi ety ?.." aliuliza Afande daudyTena kwa kutabasam baada ya kumuona kijana mmoja mzuri mbele yake akiwa smart Hana doa hata moja usoni Yani alikuwa mzuri na ngozi yake haikuonekana kuwa Kama ya zombi.Afande daudy alisogea jirani na yule mtu aliyemuona ndani ya kile chumba. Akacheka kidogo alipo mkaribia "Vipi afande mbona mnaingia chumbani kwangu kwa fujo hivi shida Nini?..." Aliuliza yule mtu aliyeonekana ndani ya kile chumba. "Hapa police tunachezewa kijinga ngoja. We mamaaaa...." Afande alimwita mama tony ambaye alipiga Simu police. Mama tony alifika pale haraka. ...

MPENZI CLARA EPISODE 5

Picha
MPÉNZĪ CLĀRÁ EPISODE (05) ✓ !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ILIPOISHIA ---------------- kisha nikaanza kumuita Clara!! Clara!! uko wapi mpenzi wangu mala nikaskia sauti nipo hapa bhnaaa baby wangu mbona unakua muoga sana nilipo geuka nyuma kweli namuona mtoto kajilaza kitandani tena akiwa amevaa mwana ndani tu mate yalinitoka baada ya kumuona mtoto jinsi alivoumbika mpaka nikasahau kabisa kuzima taa na kuanza kumfata pale kitandani lakini mala naona kono likapita tena mbele yangu na kwenda kuzima taa round hii niliona vizuri kabisa ulikua ni mkono wa (CLARA) mh!!! nikaona sasa hapa Disco limevamiwa na mmasai +++ENDELEA NAYO SASA+++ baby njoo basi tuendelee kufanya mimi nilikusaidia tu kuzima taa sasa mbona una niogopa tena jamani aliongea CLARA huku akitembea na kunifata sehemu niliyo simama maana niliishiwa pozi kabisa na sikuweza kwenda tena kule kitandani baada ya kusanuka kua ili la leo ni bom na ndo nishanilipukia aseeh sasa wakatia huo CLARA alikua ana nikalibia lakini alipotaka kuni shik...

JUNE 17 EPISODE 5

Picha
JUNE 17 Ep 5 S.P Owino Asubuhi ile pastor akiwa katik akijiandaa ilinkuelekea kituoni sim iliita alihitajika kufika kituoni mapema lakini polisi hawakumwambia chochote kilicho tokea. Pastor alijiandaa haraka akaingia ndani ya gari lake akaanza Safari.... Wakati yupo njiani mchungaji alikua akijiuliza maswali mengi mno kwamba inakuaje mpaka mdahuu wamiliki wanyumba alipokua akiifanyia kazi Judi hawajapiga sim alihisi yawezekana wanagaham kinacho endelea, alizidi kukanyaga mafuta ili aweze kuwai eneo la tukio. Lakini alihisi Kama hayupo sawa kwani alikua akiwaza Sana kwakweli alihitaji kutoa msaada kwa Judi. Japo hajafaham kwamba saizi Judi hawezi kuongea na mdomo umefunga polisi bado hawaelewi kimetokea nini. Pastor alikua akiendesha gari kwa kasi lakini akiliyake haikua pale, mchungaji aliamua kuomba ili aweze kufunuliwa kinacho endelea, aliomba lakini alijikuta amefumba macho nagari lilikua speed kweli kwabahati mbaya mchungaji alipata ajali mbaya. Kituoni walisema inaonekana kweli pa...

SHAIDA SEHEMU YA 7

Picha
SHAIDA: NO 07 Shaida alishindwa kujibu akaamua kuendelea na kazi zake, Eddy haraka alimshika mkono na kuanza kumvuta. "Eddy Kuna nini mbona sikuelewi? " Eddy bila kujibu aliendelea kumvuta mpaka sebuleni, Shaida hofu ilimtawala maana kujitoa kwa Eddy ilikuwa ngumu na istoshe alihofia Kama mtu yeyote ataona italeta gumzo ndani ya nyumba. Eddy bila kujali kuonekana ama kutokuonekana, alimtoa nje mpaka akamwingiza ndani ya gari kisha na yeye akaingia. "Mungu wangu nini kinaendelea kwangu" Shaida aliongea huku akilia. "Spendi unijibu utakavyo... Mimi ni mume wako" maneno ya Eddy yalimfanya Shaida kupandwa na mzuka. "Mume? Hivi wewe wakisema wanaume wajipange pale unaweza kwenda kweli" Eddy kwa hasira alimuwasha kibao na kumtuliza. "Ongea ujinga wako wote ila usinidharau" aliongea Eddy. "Eddy umenipiga?" Shaida alimhoji huku akilia. "Na ntakupiga tena usipotulia" "Tafadhali, naomba nifungulie mlango ntaondoka humu nd...

IMEINGIA YOTE Episode 1 CHOMBEZO 18+

Picha
IMEINGIA YOTE Episode'1' Mtunzi:Mziwanda Taratibu basi watoto watasikia bwana,make wewe kila siku nakwambia dudu lako kubwa arafu refu lakini huelewi.Usiingize yote basi kumbuka watoto hawajalala bwana,"Nimama Regina ambae alikua ndani ya chumba na mume wake wakiendelea kupapasana ili kupeana ile kitu yenye utamu adimu zaidi ya asali,Chakula ambacho wakati unapokua unakula lazima mwenyewe ujikute macho yanajifunga kwa utamu wa kitu hiyo.Lakini siku hiyo majira ya usiku,Mama Regina alikua anajalibu kumkumbusha Mume wake asiingize yote,kwasababu Mwanaume huyo alijaliwa bonge moja la mtalibo mnene hakika tena refu utasema nyoka mweusi,wale wakina Nandy wanaotakaga Tango baada ya kuchoka bamia,Baba Regina alikua anawahusu kabisa.Wakiwa ndani ya jiji la Mwanza walikokua wamepanga chumba na sebure,Regina binti yao wa kwanza alikua anasoma kidato cha pili,lakini siku hiyo walikua na mgeni ambae ni Mtoto wakike Menina aliyewatembelea kutoka jijini Dar es alaam baada ya kupata riki...

NIPE YOTE NO: 2 CHOMBEZO 18+

Picha
Chombezo: NIPE YOTE NO: 2 akazidi kunizamisha vidole si akanichovyeka kwenye mpododo nikastuka na kubaki kuganda tu yani nikajihisi nipo sayari nyingine kabisa nikawa nachezewa njia zote mbili uuuuuuwii,,,,babiiiii,,,chomekaaaa,,,basiiii,,,ahaaaaa,,,,nikawa ayakata mauno,,,mpaka nikatamani kuomba poho maana iyo midole alivyo kuwa akinichomeka shida tu nikajiuliza je hilo dudu itakuwaje?" wakiwa bado wanaendelea na michapo yao ya kutiana nyege tu maana baazi yao washaanza kujichezea vitumbua vyao na kujishika shika maungo yao kuna vitu katika dunia hii kusema kweli havizuiliki usingizi na nyege, Kessy akamwita yule aliyekuwa akitoa michapo pale “wee Amina,!!! “abee!! “mama anakwita huku, Amina akanyanyuka toto hicho kijungu sasa weka mbali na vishankupe wakienda kama wanarudi huyu Amina ni Amina kweli tabata nzima hadi vingunguti buguruni na vitongoji vyake wanampata kigodoro hata kiwekwe wapi atatimba tu ukiona hajaja basi hajazipata fununu zake “wee Amina, “abee mama, “hivi hujam...

JINI WA DARAJA LA SALENDA SEHEMU YA 5

Picha
SIMULIZI: JINI WA DARAJA LA SALENDA MTUNZI: ALLY MBETU SEHEMU YA TANO Suzana alikwenda hadi mlango wa chumba cha wageni na kuingia ndani, Brighton mapigo ya moyo yalikuwa makubwa. Alijisogeza hadi kwenye kochi na kujilaza akiwa ameshikilia mkono mmoja kifuani kuizuia presha kutokana na vurugu itakayotokea chumbani. Siku zote Suzana alimhakikishia Brighton kuwa siku atakayomkuta na mwanamke ndiyo siku atakielewa kichaa chake. Akili nyingine ilimtuma awahi chumbani kabla Suzana hajafanya lolote. Alinyanyuka alipokuwa amejilaza na kwenda chumba cha wageni. Alipofika alifungua mlango na kuingia ndani, Suzana aliyekuwa akianua nguo yake ya ndani, alishtuka na kumuuliza: “Vipi mbona umeingia kama unafukuzwa?” “Aa..aa..,” alijibu kwa kubabaika huku akipepesa macho chumbani kumtafuta Balkis. “Vipi mbona unatembeza macho chumba kizima kuna nini?” Suzana alimuuliza. “Walaa, niliweka CD yangu kwenye meza.” “Sasa ulivyokuja hivyo, umeniona mimi mwizi?” “Walaaa, nilikuwa najiuliza niliiweka huku au...