JUNE 17 EPISODE 5



JUNE 17

Ep 5

S.P Owino

Asubuhi ile pastor akiwa katik akijiandaa ilinkuelekea kituoni sim iliita alihitajika kufika kituoni mapema lakini polisi hawakumwambia chochote kilicho tokea. Pastor alijiandaa haraka akaingia ndani ya gari lake akaanza Safari....
Wakati yupo njiani mchungaji alikua akijiuliza maswali mengi mno kwamba inakuaje mpaka mdahuu wamiliki wanyumba alipokua akiifanyia kazi Judi hawajapiga sim alihisi yawezekana wanagaham kinacho endelea, alizidi kukanyaga mafuta ili aweze kuwai eneo la tukio. Lakini alihisi Kama hayupo sawa kwani alikua akiwaza Sana kwakweli alihitaji kutoa msaada kwa Judi. Japo hajafaham kwamba saizi Judi hawezi kuongea na mdomo umefunga polisi bado hawaelewi kimetokea nini.
Pastor alikua akiendesha gari kwa kasi lakini akiliyake haikua pale, mchungaji aliamua kuomba ili aweze kufunuliwa kinacho endelea, aliomba lakini alijikuta amefumba macho nagari lilikua speed kweli kwabahati mbaya mchungaji alipata ajali mbaya.
Kituoni walisema inaonekana kweli pastor anahusika nahichi kilicho tokea. Judi akiwa bado yupo mahabusu, ilibidi polisi wagawane majukumu wengine wakamfuatilie pastor kwani inaonekana kwamujibu wa polisi pastor ndie Alie sababisha Judi kua vile kwani yeye ndie Alie kua wamwisho kuongea nae!!
Yule polisi alikua na ile sim ambayo Ina ushahidi wa Judi alipokua akiongea usiku.
Ilifika saa 3 asubuhi..
Judi aliingizwa ndani ya gari la polisi japo Hana uwezo wa kuongea polisi waliamua kchukua ili awaelekeze kwa ishara eneo alilokua akifanyia kazi. Ili wakashuhudie mauaji hayo, alipandishwa ndani ya gari na Safari ilianza! Pia kikosi kingine kiliamua kwenda kumfuatilia pastor!
Njiani alipo pata ajali pastor walipita watu kwamaana alipata ajali sehem iliyokua ya wazi, mchungaji alikua akivuja dam nyingi usoni! Lile gari alilokua akilitumia liligonga mti.
Wakati polisi waponjiani Judi ghafla alionekana kutoa machozi polisi walianza kumkalipia ili anyamaze, kilichowaacha hoi police wale Judi alianza kutoa dam machoni aakaanza kulia kwauchungu akidai macho macho hawezi kuona Sasa inakuaje Nani atawaongoza kuwapeleka katika nyumba yalipo fanyika mauaji hayo!?
Pastor alipata msaada waliweza pia kupiga sim nyumbani kwa pastor mkewake aliwahi hospitali washiriki waliopata taarifa ile walifika hospital mapema, iletaarifa ya mchungaji ilikua kubwa Sana kile kikosi kingine cha polisi waliweza kuipata ikabidi wageuze waelekee hospital.
Leo kwamara ya kwanza ndipo kesi ya kupotea kwawatoto wanne inaletwa kituoni baada ya wazazi kutafuta sana, kesi ilieipotiwa kituoni wale wazazi walilalamika kwamba watoto wao walipotea siku tatu zilizo pita tarehe 17 JUNE.
Polisi wa kikosi cha kwanza waliahindwa kuendelea na Safari kwani tayari Judi haliinazidi kua mbaya mdahuo alikua haoni haongei Ila nikama anasikia macho yake yalijaa dam kilichoku akikiendelea hakuna Alie faham! Gari la polisi lilisimama katikati ya mji ikabidi Sasa wamchukud Judi ili kumuwaisha hospitali!!
Mchungaji alizidi kuhudumiwa lakini pia kesi ya watoto kupotea imeripotiwa kituoni polisi wa eneo lile waliomba majina ya watoto walio potea yaweze kuirodheshwa
Yalikua Jenifer, amini, saidi na Salome. Polisi mmoja alitoka akapiga sim nje kidogo kumbe alikua anampigia mkuu wao ambae alikua akielekea kule yalipo fanyika mauaji, polisi walikua wamesha faham kuhusu kesi ya hao watoto kupotea Ila waliahindwa kuwaambia wazazi wale kwani, ilionekana Haina uchunguzi wowote na imekaa katika mazingira ya kishirikina.
Alipokea na akamwambia huku huyu dada kapofuka naomba usiwaambie chochote wazazi hao tunarudi!!


ITAENDELEA........




TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21