NIPE YOTE NO:3 CHOMBEZO 18+
Chombezo: NIPE YOTE
NO: 3
akarudi nyumbani kwao na kufikia bafuni akaoga na kupata msosi usiku kucha akawa anamuwaza Kessy na penzi alilo mpa akaichukuwa cm yake na kutamani angarau angekuwa na number yake ampigie au wachart kwa whatsapp akajiapia kesho pakikucha ataipata tu number ya mpenzi wake Kessy
kesho yake yapata saa tatu hasubuhi Kessy akafika nyumbani kwa kina Abdu kuja kumuomba samahani mchizi wake kwani kitendo alicho mtendea sio fea kabisa akamkuta Aisha anaosha vyombo huku Husna akiwa anafagia uwanja
Husna baada kumuona Kessy akatabasamu Kessy akawapa hi “naona kumekucha jana kama leo na leo kama jana mambo zenu warembo?"
si tuko poa tu sijui wewe handsome boy wa t.b.t?
“kwa kifupi mimi niko poa sana vipi jamaa bado kalala nini?"
“ahaaa nilale wapi nishadamka kitambo tu, sauti ya Abdu akaja kukumbatiana na mshikaji wake yani kama vile hakuna kibaya kilicho tokea baina yao wakaenda kukaa katika kibaraza cha nyumba Kessy akaanza kusema “kwanza kabisa naomba unisamehe kwa kitendo nilicho kutendea jana ni shetani tu kanichochea kufanya vile, kabra ya kusema chochote Abdu akatabasamu,
na kusema “Kessy wewe ni zaidi ya ndugu kwangu mimi na wala hustahili kuniomba msamaha mimi ila naitajika nikuombe msamaha wewe maana jana nilikuvunjia heshima sana kwa kukwambia vile nikaja kufahamu Dada zako wewe ni sawa na Dada zangu mimi na Dada zangu ni sawa na dada zako nisamehee sana Kessy,!!!
wakazungumza mengi sana na kuweza kumaliza tofauti zao wakanywa chai kisha Kessy akaaga na kwenda kwao Husna akamkimbilia kwa kumwita “wee Kessy!!! akamuitikia kwa kusema “unasemaje wee kibwengo?"
“khaa! Kessy unaniita mimi nani?"
“nakuita kibwengo maana akili zako kama kibwengo tu hivi ndio nini jana kunigandisha muda wote ule kwenye mjumba wakati ulisema nikusubili dakika tano tu utarudi mwenzako nikaganda wee mpaka nikaona mizinguo tu nikasepa na kuanzia leo nakuchukia,
Husna kwanza licha ya kustuka akabaki kushangaa tu ina maana yule aliyekula kitumbua chake ni nani kama sio Kessy?"
akabaki na maswali kibao na kupata picha ni kweli yule sio Kessy maana hakuongea chochote mpaka anaondoka angekuwa ni Kessy angeweza kumsindikiza hata karibu na nyumbani kwao akastuka baada kupigwa singi na Kessy huku akimwambia “kibwengo bichwa kubwa,
“lakini
Kessy, “hakuna cha lakini wewe huna ahadi za kizungu bwana mwenzo unajuwa uliniacha hoi pale mpaka nikaenda nyumbani kupiga puchu kwa kutumia sabuni!!!
Husna akatoka mbio akilia mpaka ndani moja kwa moja akaenda kujifungia chumbani kwake na kuanza kulia Aisha akabaki kuita “mama!!! mama!!! “nini wewe unapaza sauti kuniita kama umeambiwa mi kiziwi au?"
“mama bwana njoo Dada Husna kajifungia chumbani analia huku, ile kauli hata Abdu aliisikia akaja haraka akiwa na mama yake na kuuliza “kuna nini kwani?"
mi sijui yeye katoka huko mbio akiwa analia na kujifungia chumbani tu,
“wee Husna!!! embu fungua mlango uniambie nini kimekusibu, wakagonga sana mpaka wakakata tamaa mlango haukufunguliwa wakafikia uamuzi wa kuvunja mlango maana asije akajiuwa pasipo kufahamu nini chanzo,
Abdu akasema subilini kwanza tufanye jambo moja hapa Aisha nenda kamwita Amina, nikamwite Amina yupi sasa?"
kwa sauti ya ukali akamwambia kamwite Amina kimodo,'
Aisha akatoka mbio kwa bahati nzuri akakutana nae njiani akiwa anakuja huku huku nyumbani kwa kina Abdu “vipi tena Aisha naona mbio mbio kwema huko utokako shost?"
“wee acha tu nyumbani kuna majanga,' “majanga yapi tena?
si Husna huyo,' “husna kafanyaje tena mbona unantisha!!! “husna tokea hasubuhi mpaka mida saa kumi jioni hii kajifungia chumbani analia tu kufungua mlango hataki wala nini, Amina akatoka mbio mbio mpaka kwa kina Abdu na kuwakuta watu wamechoka na kushika tama tu,
akaenda kugonga yeye kwa kuita “husna baby naomba ufunguwe mlango please my dear fungua mlango uniambie nini tatizo embu fikilia mama yake kaka zake na ndugu zake wengine wamegonga wee mpaka wamechoka ajabu Amina maneno kidogo tu mlango ukafunguliwa kila mmoja akabaki kuduwaa hasa mama yake akiwa anajifuta mchozi
Husna akamkumbatia Amina na kuomba wawe wawili tu amwambie kilicho msibu wakaachwa peke yao basi akampa full story baada kumaliza kumpa mchapo Amina akacheka sana ha!ha!ha!ha!ha warereeee chezea nyege wewe!!! “sasa mbona unanicheka tena?
“im sorry baby maana hiyo story komesha wadudu wakakunyevua vibaya sana mpaka ukampa kitumbua mtu sie duhuu kwani ilikuwa usiku saa ngapi?"
kama saa mbili na nusu hivi, “kama ilikuwa saa mbili na nusu itakuwa kweli sio kaka Kessy maana saa mbili kama na robo hivi mama alimuagiza kwenda dukani kwa mangi kununua dawa ya mmbu akachelewa kurudi nahisi ndio muda aliyokuwa akikungojea wewe ila akarudi saa mbili na dakika kama ishirini na tano hivi akaenda kuoga na kwenda zake kulala,
"ndio hivyo baby nimegawa kitumbua kishaingia mchanga, wakajikuta wakicheeka na kupeana pore huku wakiapa kumsaka huyo aliye jilia kitumbua kiulaiini
"wee Kessy!!! ni sauti ya Amina akimwita Kessy kusema kweli kiumri Amina ni mkubwa zaidi ya Kessy kamzidi miaka kama 8 hivi kwa kifupi Kessy ni mtoto wa tatu kuzaliwa wa kwanza kaka yake anaekwenda kwa jina la Rashidi ni master wa mamaster akiwa na dojo lake maeneo ya ilala amana ndio akafatia Amina akaja yeye kisha Ashura na Habiba ndio wa mwisho kuzaliwa, akamgeukia na kumuuliza “unasemaje?"
“kitendo ulicho mtendea Husna jana usiku sio kitu kizuri hata kidogo,'
“kitendo kipi tena dada?"
wewe jana ulipanga na Husna mkapeane mambo kwenye mjumba sasa akakuomba umngojee kwa umafia wako ukamuandaa mtu mwingine wewe ukaondoka mwenzako akaja na kufanya mapenzi na huyo mtu akijuwa ni wewe,
“what?" kusema kweli Kessy akapata mstuka na kujikuta anadondosha glass ya juice ikaenda chini na kuvunjika puhuu
Kusema kweli Kessy alistuka sana mpaka kufikia kuidondosha glass ya juice ikaenda chini na kupasuka pehee ni sauti ya vyupa ndio ikamsitua mama yake akiwa ukumbini anapika na kuuliza “wee Kessy umevunja nini huko ndani?"
“ni glass mama imenitoka bahati mbaya tu!!!
“haya zoa vyupa hivo na uende kutupa,
“sawa mama, akamtizama Dada yake Amina na kumuuliza “dada unasema nini?"
“kusema nini kwani hujui ulicho kitenda au unazuga hapa tu?”
“kusema kweli haki ya Mungu sijatenda kitu kama hiko mimi,
“sasa kama sio wewe kumbe nani wakati ndani ya huo mjumba uliingia wewe na Husna tu?"
Kessy akavuta picha ya kumbu kumbu ya jana yake usiku na kujikuta akisema “yes! nishakumbuka, akatoka zake nnje huku Amina akimwita “wee Kessy!!! sasa unaenda wapi?"
Kessy hakumjibu kitu akatoka zake na kuzidi kusikia sauti ya dada yake ikimwita na kumwambia aje kuzoa vyupa vyake akatoka moja kwa moja mpaka eneo ambalo ndio
alisimama na Husna akacheki kulia na kushoto
kisha akapiga tasmini na kwenda mpaka ndani ya mjumba
akacheki cheki
kama nusu saa hivi kisha akatoka
njia nzima anajipiga piga mikono yake
safari mpaka
kwa kina Abdu na kumkuta akicheza karata
na Dada zake
“ohoo kamanda umekuja sio?"
“yeah si unajuwa ndio mida ya kwenda kwenda kucheki mambo yetu yalee,
“ahaa kaka mi bado siko njema kiviile kama vipi tufanye kesho basi,
Kessy hakuongea neno zaidi ya kumshika mkono Husna akamnyanyua na kwenda nae chemba hakuna aliye shangaa kwa kitendo kile
wakaendelea kucheza karata
zao sijui rast card au makonzi,
“Hivi wewe Husna unaakili timamu kweli?"
“kwa nini unaniuliza hivyo?" “jibu swali acha ujinga, Husna hakuwa na cha kujibu akabaki kiimya na kujisikia aibu kinoma yani alishatambua ya kwamba ishu ya yeye kufanya mapenzi na mtu asiemtambua atakuwa keshaambiwa tu,
“nakuuliza wewe ni bubu au kiziwi kipofu au vipi?"
“kwani Kessy hayo yote yametokea wapi tena?"
kitendo bila kuchelewa Husna akawashwa zinga la kofi mpaka kina Abdu wakasikia wakacheki na kuona Husna kajishika shavu analia kwa kwikwi Aisha akataka kuita “mam kabra ajaita zaidi Abdu akamziba mdomo na kumuuliza unamwita mama wa nini?"
“wee uoni kule Dada kapigwa au
kwa sababu ni rafiki yako?"
akamjibu shatapu!
Kessy akamwambia Husna ya kwamba “huwezi juwa wala kufahamu ninavyo jisikia moyoni mwangu kwa kitendo ulicho fanyiwa wewe haikuumia au unachukulia ni jambo la kawaida tu
sasa basi
lazima nimnase huyo mwehu
nitamchomeka
nae dudu aipate pate ninacho kuomba leo usiku njoo chumbani kwangu nikuonyeshe show ya kibabe sawa
mchumba,,,,,,,
ITAENDELEA........
SIMULIZI KAMA HII YA CHOMBEZO ITAWEKWA KILA SIKU USIKU TU
Maoni
Chapisha Maoni