MPENZI CLARA EPISODE 5
MPÉNZĪ CLĀRÁ
EPISODE (05) ✓
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ILIPOISHIA
----------------
kisha nikaanza kumuita Clara!! Clara!! uko wapi mpenzi wangu mala nikaskia sauti nipo hapa bhnaaa baby wangu mbona unakua muoga sana nilipo geuka nyuma kweli namuona mtoto kajilaza kitandani tena akiwa amevaa mwana ndani tu mate yalinitoka baada ya kumuona mtoto jinsi alivoumbika mpaka nikasahau kabisa kuzima taa na kuanza kumfata pale kitandani lakini mala naona kono likapita tena mbele yangu na kwenda kuzima taa round hii niliona vizuri kabisa ulikua ni mkono wa (CLARA) mh!!! nikaona sasa hapa Disco limevamiwa na mmasai
+++ENDELEA NAYO SASA+++
baby njoo basi tuendelee kufanya mimi nilikusaidia tu kuzima taa sasa mbona una niogopa tena jamani aliongea CLARA huku akitembea na kunifata sehemu niliyo simama maana niliishiwa pozi kabisa na sikuweza kwenda tena kule kitandani baada ya kusanuka kua ili la leo ni bom na ndo nishanilipukia aseeh sasa wakatia huo CLARA alikua ana nikalibia lakini alipotaka kuni shika nikasema Aweeeh!!! haunipati kilahisi ivo me mwenye town long tyme
Nilitimua mbio yani speed 360 huku nikiita mama!!! mama!!! mama!!! nilienda moja kwa moja mpaka kwenye gari yangu sasa ile nafungua mlango tu dah!!! namuona kakaa kwenye siti tena ni siti ya suka sio ya abilia nilichoka aseh uwezi amini nilikata moto na nilikuja kushtuka asubuhi nikiwa nimelala kitandani niliinuka na kukaa kama dakika 3 na ndipo nikakumbuka mambo ya liotokea jana usiku ila nikajiuliza sasa yule demu kaenda wapi ila nikasema ngoja niachane nae tu kwanza nilishukuru na kuona kwamba bom nimelitigua
(dah! ila yule jini noma aseh kutoka hapa mpaka pale kwenye switch kanyosha kono tu duh!!! ila bora kama kaniacha mzima ila hizi tamaa siku nyingine zitakuja kuniingiza pabaya kuda dekiiih) nilijisema kimoyo moyo kisha nikachukua simu yangu nilikuta sms na missed call kama zote yani hizo sms za Sarah ndo usisema pia mchizi wangu delveck alikua ana lalamika tu kua nimemfanya apande dala dala kutoka sinza mpaka masaki nikaona acha nim call mchizi kwanza nimpange) simu iliita kidogo kisha alipokea alianza na lawama kibao)
DALVECK- oiiih niaje mzee dingi mbona miyeyusho sana kwaiyo jana kuludi tena viwanja uliona kiza kinene au mtoto ndo alikupa mambo ya pwaaani yaheeeeh?!!)
Dah! bro yani we acha tu ni bora hata ningepewa hayo mambo ya pwani kama unavosema ila nilichokutana nacho jana usiku ni noma bro yule demu sio kabisa
(DELVECK- demu sio kivipi tena jamaa au alikupandia dau kubwa nini alafu kumbe maajabu sheri?!!!)
Mh!!! bora hata ingekua hivyo bro but sijaambulia ana romance alafu hauwezi amini kabisa ila kile kidemu kumbe ni kijini aseeeh yani wewe acha tu usiombe ya kukute kaka me mpaka nilikata moto baada ya kumuona amekaa kwenye gari na wakati me nilimkimbia ndani tena humu chumbani mwangu
(DALVECK- acha zako wewe au ushaanza kuweuka saizi ila sema labda tu ulienda kwa Sarah na ukaamua kunichomesha mwanao pale sinza) kwaiyo saizi yupo wapi uyo demu mwenyewe?!!)
Me hata sielewi ni wapi ameenda coz baada ya kuzima jana usiku pale njee leo nakuja kushtuka nipo ndani tena nikiwa nimelala kitandani yani we acha tu mzee lakini wakati naendelea kuongea kwa simu mala naskia mlio wa maji bafuni kuonekana kwamba kama kuna mtu alikua yupo mle ndani na alikua anaoga au alifungua maji kidogo nikashtuka lakini nikasema labda katika pilika pilika za jana usiku nitakua nilifungua na nilisahau kufunga ila mala ule mlio ulikata kidogo kisha ulianza tena yani round hii maji yaliskika kutoka kwa kasi kweli kweli me nikaona emu ngoja kwanza nikacheki sasa wakati nakaribia mlango wa bafuni mala kukawa kimya yani ule mlio uliacha
nikaona acha niulize kwanza hey sorry ni nani ambae uko humo bafuni ila sikuweza kujibiwa nikaona emu ngoja niludi zangu kitandani oya niambia mchizi kuna mambo nilikua nayaweka sawa niliendelea kuongea na simu ila mala nikasikia tena mlio wa maji kule bafuni dah!!! ivi ni nani yupo mle ndani mbona anakua kama jebu emu ngoja kwanza nikamcheki basi nilitoka pale kwa speed moja kwa moja mpaka kwenye mlango wa bafuni nikaufungua taratibu huku nikiwa na kauwoga kakishikaji ila sio kivile
sasa nilipo ufungua ule mlango uso kwa uso aseeh naonana na mtoto CLARA nikaona mh!!! hii sasa noma nikatoka mbio mpaka sebuleni ila ile nafika tu sebuleni namkuta Clara ana kunywa chai na mikate
(CLARA- oooh!!! mbona una nikimbia mpenzi wangu karibu chai na mikate) bhnaaa me ni mkeo
(Aweeeh kamkalibishe baba akooh) nilimjibu kisha nilikimbia moja kwa moja mpaka kwenye gari niliwasha gari kisha nikasepa zangu tena kwa speed sana mpaka majilani zangu nahisi walishangaa maana sio kawaida yangu hapa sasa naenda zangu kwa SARAH nilijisemea huku nikiwa na tetemeka kama boya vile
ITAENDELEA.........
HAYA MNYAMWEZI (joh) LEO AMEKIMBIA NYUMBA YAKE KISA MREMBO (Clara) AMBAE ALIKUA NI JINI JE NI YAPI YATAFATA BASI USIKOSE SEHEMU IJAYO
TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni