Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2021

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 32

Picha
MASSAGE ROOM 🔞 SEHEMU : 32 STORY : BADRU SINGH ""Ahaa Abiria Chunga Mzigo Wako"" Eliza Aliongea Hivyo Akiwa Hatanii Kabisa ""Sawa Mamy Nimekuelewa Kipenzi Changu Mimi Mwenyewe Najichunga Kwa Ajili Yako"" ""Mhuu Ok Sawa Basi Unicheki Baby Tuonane"" ""Usijali"" Basi Eliza Aliridhika Akiamini Kuwa Khafidhi Anakwenda Kweli Hospitali Kwa Baba Yake Kumbe Wapi Kijana Jini La Ngono Lilishamvaa Basi Khafidhi Ili Kuhakikisha Kwamba Eliza Anaondoka Alimsimamishia Boda Boda Kabisa Na Kumpandisha Alipohakikisha Bodaboda Aliyopanda Eliza Ishapotea Akatoa Simu Yake Na Kuijibu Ile Meseji Ya Monika 📝Ndio Twatoka Hapa Sasa We Njoo Mpaka Mtongani Ukifika Pale Nipigie Simu 📝 Haikupita Hata Sekunde Kumi Meseji Ilijibiwa 📩Poa📩 Basi Khafidhi Akawa Anatembea Mdogo Mdogo Kuelekea Majaribio Ilikuwa Jioni Ya Saa 11Anakwenda Saa 12 Alipofika Majaribio Alikuta Meza Ya Pweza Imezungukwa Na Watu Ikabidi Na Yeye Ajiunge Aliagiza Supu...

KIDAWA NO.1

Picha
Stori: KIDAWA Mtunzi: GAOOH MUSSAH NO: 1 Nawakaribisha wote kwa pamoja kusoma simulizi hii ya kuvutia. Katika makuzi yangu sikuwahi kumuona baba wala mama, sura pekee niliyowahi kuiona pindi tu napata fahamu za kitoto alikuwa ni bibi, tangu niweze kuongea na kujielewa sikuona ndugu yoyote nyumbani kwetu zaidi ya majirani tu ambao nao walitutenga hakuna alieshirikiana nasi, japo nilifanya juhudi kadhaa ikiwemo kukataa kula na hata kutishia kutoroka ili tu bibi anieleze walipo wazazi wangu lakini haikuwa rahisi wala haikuwezekana kama nilivyotaka, naweza sema bibi ndio alikuwa baba, mama, na hata familia nzima, Kidawa ndio jina langu nina umri wa miaka kumi na tisa sasa(19) nimeishi nikimtumikia bibi yangu katika kazi zake, nilijua fika bibi yangu ni mchawi kweli ni mchawi mara kadhaa alikuwa akiondoka usiku na kuniacha peke yangu kitandani,na hata sikunyengine kuondoka na mimi, nilishakula nyama nyingi sana usiku alikuwa akileta nyama na kunilazimisha nile zilikuwa mbichi alinilisha kw...

NOTEBOOK NO.3

Picha
NOTEBOOK NO. 3 Mida ya saa 9 hiv walifika huko kijijin ,Carry alianza kujiskia vibaya hivyo alikaa pemben kabisa ,alijitenga na watu wala hakuhudhuria makaburin,masikn Carry hakujua kaka yake Jescar ,ndye Edward amtafutaye na vile tu amejitenga na huku Edward alisimama kutoa muongoz mfup baada ya mazish yale nini kitafuata kwaniaba ya mama yake na baba yake ,hivy ikawa bahat mbaya kwa Carry kutokumuona Edward kwa wakt ule ,Carry alipokuw amekaa kule alianza kujckia kichefuchef alitapika sana,isitoshe hakula kwa muda mref hvyo alikosa nguvu ata za kunyanyuka pale alipokuwa amekaa alianz kujihis kiznguzungu . ************************************************** Carry alishtuka yupo kitandan huku kichwa kikimuuma sana ,hakuelewa yupo wap alijarb kujiinua pale kitandan lakin hakuwa na nguv ,baada ya muda kidogo aliingia Alex akiwa ameshika mfuko wa chips mkononi ,Carry alishtuka kumuona Alex mbele yake "Usiogope mrembo upo salama "Alex alimwambia Carry "Nimefikaje hapa kwann n...

Djuma Azitaka Asisti 15 Yanga

Picha
BEKI wa kulia wa Yanga, Djuma Shabani, amefunguka moja ya malengo yake ni kuhakikisha anatoa pasi nyingi za mabao kuanzia 15 msimu huu ambazo zitawasaidia washambuliaji wa timu hiyo kufunga mabao mengi zaidi. Msimu huu ukiwa ni wa kwanza kwa beki huyo, tayari amefanikiwa kutoa asisti tatu ambapo mbili ni katika Kombe la Shirikisho la Azam, huku moja ndani ya Ligi Kuu Bara na kufunga bao moja. Akizungumza na Spoti Xtra, Djuma alisema: “Ni furaha kutoa pasi ya kwanza ya bao katika mchezo wa ligi kuu, natamani kuona nikifanya hivyo kwa kutoa pasi nyingi kwenda kwa washambuliaji. “Pasi kuanzia 15 na kuendelea ndiyo lengo langu, naona zitasaidia washambuliaji kufunga mabao, ukiongeza na pasi  za wachezaji wengine basi utaona idadi nyingi ya mabao ambayo tutafunga. “Msimu ni mgumu kwa kuwa kila timu ina malengo yake, kwetu ubingwa ndio malengo yetu ndio maana utaona kila mchezo kwetu ni mgumu kwa kuwa wapinzani wanafahamu juu ya nia yetu, lakini tunaendelea kupambana kwa ajili ya kufi...

Nkane Aaga Rasmi Biashara United, Sasa Kutua Yanga

Picha
ALIYEKUWA mchezaji wa Biashara United ya Mara nafasi ya kiungo mshambuliaji, Denis Nkane (18) ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo kwa ajili ya kuelekea Yanga ambako ataanza kuwatumikia Wananchi hao wa Jangwani.   “Napenda nichukue nafasi hii kuushukuru uongozi wa klabu ya Bi ashara United kwa kuwa hawa ndio wamenitambulisha mimi kwenye ligi na soka. Pia napenda nichue nafasi hii kuwashukuru wachezaji wenzangu kwa muda wote niliokuwa nao, kwasasa ni muda wangu wa kwenda kutafuta changamoto nyingine,”  amesema Nkane. Denis Nkane Profile First Name : Denis Last Name : Nkane Place of Birth : Tanzania Date of Birth : 30 September 2003 Nationality : Tanzanian Team: Yanga Sc League : NBC Tanzania Premier League 2021/2022 Position : Wing (Left and Right) Caf Confederation Cup 2021/2022

Simba Waja na Mikakati Mipya Kufuzu Robo Fainali CAF

Picha
MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mulamu Ng’hambi, amesema wamepanga kuja na mikakati mipya itakayowawezesha kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kauli hiyo ameitoa bosi huyo, mara baada ya droo ya makundi ya shirikisho kuchezeshwa juzi na Simba kupangwa na RS Berkane ya Morocco, USGN ya Niger na ASEC Mimosas ya Ivory Coast.   Akizungumza na Championi Ijumaa, Nghambi alisema kuwa kikubwa watakachokifanya ni kushinda michezo miwili mfululizo ya kwanza katika michuano hiyo.   Simba itaanza na ASEC Mimosas Februari 13 jijini Dar, kisha Februari 20 itakwenda Niger kuivaa USGN. “Siku zote mechi mbili za kwanza za makundi ndiyo zinaamua kama unakwenda robo fainali au hauendi.   Hata msimuuliopita, mechi mbili za mwanzo ndiyo zilichangia kutufanya tuongoze kundi. “Hivyo kama tukishinda nyumbani dhidi ya Asec na kisha ugenini dhidi ya Gendarmerie (USGN) tutakuwa katika nafasi nzuri ukizingatia mechi mbili zitakazofuata zitakuwa dhidi ya Berkane nyumba...

SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI SEHEMU YA 16-20

Picha
Simulizi: SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI Mtunzi: NYEMO CHILONGANI SEHEMU YA 16 alijiona kuwa mpenzi wa Patricia japokuwa bado hakuwa ameambiwa hivyo na msichana yule. Martin akaamua kuanza kujipanga tayari kwa kumwambia Patricia ukweli wa moyo wake, kamwe hasingeweza kuvumilia na wakati moyo wake ulikuwa ukizidi kujisikia kiu ya kufanya kile ambacho alikuwa akihitaji kukifanya. Siku hiyo aliamua kukaa sana na Patricia chumbani kwake na hapo hapo ndipo alipoamua kulitoa duku duku lile ambalo lilikuwa moyoni mwake. “Nafahamu hata kabla haujaniambia hivyo” Patricia alimwambia Martin na kuendelea. “Sihitaji kujiingiza kwenye mapenzi Martin” Patricia alimwambia Martin maneno ambayo yalionekana kumvunja nguvu. “Kwa nini Patricia? Kwa nini hautaki kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi pamoja nami?” Martin aliuliza kwa sauti ndogo iliyojaa huruma. “Unafahamu kwamba ninakupenda?” Patricia alimuuliza Martin. “Nafahamu” “Basi fahamu kwamba sitaki uumie” Patricia alimwambia Martin ambaye alionekana ...

SITASAHAU NILIVYO GEUZWA PAKA SEHEMU YA 5

Picha
Story: SITASAHAU NILIVYO GEUZWA PAKA Mtunzi: FAKI A FAKI SEHEMU YA 5 Asubuhi nilipomuuliza, Chausiku alikasirika akaja juu na kuniambia kuwa alikuwa ametoka barazani kupunga upepo kwa sababu ya joto lililokuwemo ndani. Nikamwaambia haikuwa jambo zuri kutoka nje peke yake wakati wa usiku kwani anaweza kushambuliwa na fisi wanaozunguka ovyo usiku kucha. Chausiku akanyamaza kimya. Siku nyingine aliniaga kuwa anakwenda kwa bibi yake mzaa mama yake aliyekuwa akikaa kijiji cha jirani. Akaniambia atalala hukohuko na atarudi kesho yake. Lakini akanionya kuwa nisifungue chumba chake ambacho alikuwa akikitumia kama stoo yake. Baada ya kile chumba tulichokuwa tunalala alikuwa na chumba kingine ambacho sikupata kukiingia hata siku moja. Alikuwa akiingia yeye mwenyewe tu kuweka vitu vyake pamoja na vyungu alivyokuwa anatengeza. Siku ile alipoondoka kwenda kumsalimia bibi yake, usiku wake nikaamua kuingia katika kile chumba alichonikataza nisiingie. Nilivizia watu wote walikuwa wameshalala. Nikafung...

KOFI LA KISOGO SEHEMU YA 5

Picha
“KOFI LA KISOGO” Na:Arnold Machavo Mbeya—Tanzania Sehemu ipatayo ya 05 ★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★ ««Ilipokomea... Waridi aliishia kuangua kicheko kwani Hussein alikuwa mtu wa masihara wakati wote tofauti na muonekano wake. Hata Waridi hakudhania kama alikuwa mtu wa namna hiyo. Au labda ni kila mtu anapotaka kurusha nyavu zake lazima aonekane anajali au mleta faraja na furaha... TEREMKA NAYO...»» Siku hazigandi, na ni kwa namna hiyo pia mambo hupita, husalia ama kuja mapya. Vivyo hivyo kwa upande wa Hussein na Waridi urafiki wao ulizidi kustawi na kushamiri kila uchao. Kwa ambaye angelifanikiwa kuwatia machoni basi la hasha angelikataa kuwa walifahamiana kwa muda mfupi. Walikuwa ni marafiki wa miezi kadhaa tuu tena waliofahamiana kwa bahati sana. Kwa wakati huo Waridi alikuwa ni mtu wa masuala ya urembo wa kike. Kwa siku sita za wiki kila ilipofika mchana alikuwa akielekea kwenye saluni kwa ajili ya kuweka nywele za wateja wake kiustadi. Hakusalia hapo pekee, pia alibobea katika nyanja za k...

FACEBOOK IMEHARIBU MAISHA YANGU SEHEMU YA 14

Picha
Simulizi: FACEBOOK IMEHARIBU MAISHA YANGU Muandishi: GEORGE IRON MOSENYA SEHEMU YA 14 Kwa ujasiri na tahadhari kubwa Bite akajisogeza hadi karibu kabisa na eneo ambalo aliamini hakika ndipo mlio wa risasi umetokea huku kichwani kwake akiwa ana jibu la ?nimesahau saa yangu? iwapo atakutana au kushtukiwa na mlinzi, kwa hofu alizurura katika lile eneo dakika tatu bila kuona chochoten?au wameingia nae ndani??? alijiuliza bila kupata jibu ?koh!! Koh!! Alishtuliwa na sauti ya kikohozi nyuma yake, mawazo yake alidhania ni mlinzi eneo lile lakini alipogeukz hakuwa mlinzi tena ni mwili wa binadamu ukiwa chini,hakutambua mara moja yule ni nani hadi macho yake yalipolizoea giza la pale ?Adam!!!!!? ?we ni nani??? alijibiwa kwa sauti ya chini sana iliyokuwa inaunguruma kama mnyama anayechinjwa ?Bite mimi jamani Adam? ?ondoka watakuua hao Bite ondoka niache mi nife hapa? alijibu Adam ?hapana Adam usife,usife Adam twende tukamtafute mwanetu Chrstian anatamani sana kukuona,usife Adam tafadhali? Bite a...

NANI WA KULAUMIWA ? SEHEMU YA 18

Picha
Story: NANI WA KULAUMIWA ? Mtunzi: HADIJA MGAZA SEHEMU YA 18 Mi mwenzio nikajua pekeangu! Yani mpaka nahisi , pengine anajua mahusiano yetu! " sasa we unaogopa? "Siogopi! " sasa, we muache tu. Pengine amevurugwa, "Labda , " sasa we mbona Leo mapema sana vipi? "Yan salma , we acha tu, " kunani? "Nimerudi sina ada! " mmmh..! Kwani mama si umemkuta? "Ndio lakini amesema , hana pesa , na kasema hato nitolea tena! " khaa..! Kwanini sasa? "Sielewi kabisa hapa, nawaza kweli! " pole , sasa unafanya je? "Sijui! " kwani inatakiwa sh ngapi? "Ni nyingi! " mmmh..! Na Mimi Nina hamsini tu! "Usijari , kama IPO IPO , nakama nimeumbwa kwa ajili ya kusoma , Nitasoma ! " ni kweli , si kam Mimi , sijaumbiwa kusoma , nimeumbiwa ,kufanya kazi za ndani! "Ndo hivyo tena, mi namsikilizia , " sawa Maana nilikua naunguza hapa hapa! "Ungejuta Leo, na mimi nisinge kutetea hata! " subutu , ungeona nina...

UKWELI WENYE KUUMA(PAINFUL TRUTH) SEHEMU YA 21-27

Picha
Simulizi: UKWELI WENYE KUUMA(PAINFUL TRUTH) Muandishi: NYEMO CHILONGANI SEHEMU YA 21 Bwana Brown alionekana kuchanganyikiwa mara baada ya kuyasikia maneno yale ambayo alikuwa ameambiwa na kijana wake, Wayne. Kitu cha kwanza akazirudisha kumbukumbu nyuma na kuanza kukumbuka kama kuna siku yoyote Wayne alikuwa ametembea na msichana na kumpa mimba lakini hakupata jibu. Hakuelewa ni mtoto gani ambaye Wayne alikuwa amemzungumzia mahali hapo. Akakiinua kichwa chake kutoka karibu na Wayne na kisha kuyapeleka macho yake usoni kwa mke wake, Bi Lydia. Uso wa Bwana Brown ulionyesha waziwazi kwamba ulikuwa umetawaliwa na maswali mengi, akaanza kupiga hatua na kumfuata mke wake. “Vipi?” Bi Lydia aliuliza huku akionekana kuwa na hamu ya kutaka kufahamu kitu. “Anamtaka mtoto wake” Bwana Brown alimjibu. “Mtoto gani?” “Sijui” “Kwani katika kipindi ambacho alipata ajali, Kristen alikuwa mjauzito?” Bi Lydia aliuliza. “Hapana” “Sasa mtoto gani anayemtaka?” “Hata mimi mwenyewe nashangaa. Ila nafikiri ataku...