MCHUNGAJI MCHAWI, EPISODE:08
Story: MCHUNGAJI MCHAWI. Mtunzi: Nellove Episode: 08 Ilipoishia... "Msiwe na shaka, naamini hili kubwa ndilo litammaliza kwelikweli kisha itakuwa rahisi kumpoteza kabisa kwa uchawi wetu sasa" Endelea... Mkuu wa wachawi mzee Lunde aliposema hayo, alitulia kidogo na kutazama huku na huku, akiwaacha wenzake katika shauku kubwa ya kufahamu ni wazo gani jipya,,, ni mbinu ipi mpya,,, ni mpango upi huo utakaommaliza kabisa adui yao. Mzee Lunde alitazama kushoto kisha kulia na baada ya hapo aliliweka wazi wazo lake hilo,, aliwaambia kwa ufasaha bila kuficha ficha. Basi baada ya kuambiwa na kulichambua kila mmoja akilini mwake, wazo hilo lilikubalika kwa asilimia mia moja bila kupingwa. Hakika waliamua kumwendea adui yao kibinadamu zaidi,, yaani ni vita vita waliamini Plan A ikifeli basi Plan B ipo kufaulisha. † Ilikuwa siku moja ya Jumamosi, hii haikuwa siku ya huduma lakini mchungaji Joshua alikuwa anatoa huduma mahali fulani baada ya...

Maoni
Chapisha Maoni