UKRAINE: MABOGA ISHARA YA KUKATALIWA



 UNAAMBIWA Nchini Ukraine maboga ni alama kubwa ya kukataliwa mfano kama Mwanaume amemtongoza Mwanamke au kumchumbia na Mwanamke hajaridhia au hataki, badala ya kusema 'hapana' anaweza tu kumpa Boga Mwanaume na ataelewa kwamba amekataliwa asubuhi na mapema 😄, hii sio kwa Mapenzi tu bali kukataliwa kwa aina nyingi hata kwa Wanasiasa wanafungashiwa maboga tu…….. Je hapa Bongo tutumie nini kama ishara ya kusema HAPANA ?

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21