ROHO YA KUZIMU SEHEMU YA 2



STORY:-ROHO YA KUZIMU

PAGE YA :-2

MWANDISHI:-AMANI KUYELA

Page iliyopita iliishia pale Hashiru akiwa anatafuta namna ya kupenyeza gari lake la kifahari kwenye njia mbovu za uswahilini katika mtaa wa mtakuja.

Sasa kama ida twende mzigoni,,,,vanvouver, wispa zempempeeeee,,,,

Hashiru akiwa anatizama jinsi ya kupita katika njia ile, akaajitahidi kadri anavyoweza hadi akalipitisha gari nakuzidi kusogea mkabala kabisa na nyumba alipokuwa akiishi zehera, walipofika nje ya nyumba kulikua na watoto wengi wakicheza cheza pia majirani wakike walikua wamekaa nje katika mifuko ya sandarusi wakiwa wanapiga rusaku kama kawaida yao.
Lakini walipoiona ile gari kali namna ile imekuja mtaani kwao, wakawa wanaongea chini chini kila mmoja akionyesha kushangaa sana kwa kuwa hawajazoea mtaani kwao kuona gari za maboss zikija. Wakawa wanatizama kwa umakini huku macho yao yote yakiwa chonjo kuangalia ni nani haswa nyangongo kaja na hiyo gari.
Baada ya sekunde kadhaa akaonekana zehera akishuka akaanza kutoa mifuko yake aliyowekea vitu alivyonunua kule sokoni, majirani wakapigwa na butwaaa mmoja wao akashindwa kujizuia akaropoka
"Heeeee Zezeeeee leo umeopoa nyangongo wa serikali kuu niniiii???".

Zehera kusikia vile akabaki tu anatabasam kwa kuwa yule aliyetamka hayo maneno alikua ni rafiki yake wa kike na hupenda sana kutaniana, basi zehera alipomaliza kushusha mizigo yake akawaita watoto wawili waliokuwa wakicheza cheza pale nje, walipofika akawaambia wamsaidie kubeba ile mifuko waipeleke mlangoni kwake, basi bila kupoteza muda wale watoto wakabeba ile mifuko kwa kua walikuwa wakimjua sana zehera pindi anapowatuma kitu huwapa chenji chenji ama vijizawadi.

Walipoondoka na mizigo wale watoto wakaingia ndani ya geti alimokua amepanga zehera, sasa zehera akainamisha kichwa chake ndani ya gari akasema.
"Hashiru karibu ndani hapa ndo ninapoishi"
Basi hashiru akafungua mlango kwa ajiri ya kutoka nje ya gari huku wale majirani wanawake wakiwa makini wametoa mijicho utazani wanaangalia sisimizi akifanya mapenzi, wakawa wanasubiri kwa hamu ili wamuone ni nani haswa huyo nyangongo mwenye gari yakitajiri namna ile.
Hashiru akashusha mguu wake mmoja chini akiwa amevaa american boot nyeusi, majirani wakazidi kupagawa wakitamani ashuke harakaharaka wamuone, basi hashiru akashuka ndani ya gari huku akiwa amevalia mavazi yake kama alivyoonekana kule sokoni, majirani wakike wakashindwa kujizuia wakaanza kukohoa kohoa vikohozi vya kinafki wakiashilia kupigwa na butwaa namna zehera alivyobahatika kupata handsome wa kisomali na kumleta hadi uswahilini ndani ndani kabisa.

Hashiru akafunga mlango wa gari akaanza kuelekea getini, alipofika karibu na wale majirani wanawake akatoa cape yake kichwani nakuwasalimia kwa kusema

"Asalaam aleykum wapendwa"

Wote kwa pamoja wakaitikia
"Waleykum salaaam warahmatu-llah-wabarakatu"

Zehera naye akawasalimia akiwa amesimama upande wa kushoto wa hashiru kwa kusema
"Habari za mida wapendwa"

Wote wakaitikia
"Safiiiiiii"

Mwanamke mmoja akadakia akasema
"Kwa kweli zezeeee leo umetukomesha, umetukomesha kabisaaaaaaa!"

Zehera akauliza
"Kwanini jamaniii???"

Yule mwanamke akajibu
"Umetukomoa hadi tunajiona kama sisi tuna mapungufu, sio kwa unyangongo huu zezeeee, check hiyo ndinga yani si wengine tunadongozwaga tu na viday waka videreva bajaji na boda boda, we umemnasaje huyuuuuu???".

Zehera akatabasam akajibu
"Mmmmhhhh samahani, nahitaji kufika ndani mgeni wangu anahitaji kupumzika".

Kisha zehera akamuambia hashiru waingie ndani, sasa wale wanawake pale nje wakabaki wanaduwaa wakiwa hawaamini kabisa kama zehera amepata bahati ya mtende kuota katika sufuria la maji, mwanamke mwingine akasema

"Mmeona sasaaaa,kila siku nawaambiaga zehera ni pisi kali mtaa wetu huu wote hamna, sasa mmejionea msomali alivyonasa kwenye tundu???"

Mwanamke mwingine akamjibu
"Hili si la kupinga, acheni utani zehera kaumbika, nyie hamuoni anafana fana na wanyarwanda, ndo maana yule mzee bebabeba alihonga hadi kiwanja chake, si mchezo zehera anakimbiza mtaa mzima".

Wakati wanawake wakiendelea kumjadiri zehera pale nje tayari zamani yeye na Hashiru walikua wameshaingia ndani ya chumba cha zehera huku wakiwa wamekaa katika sofa moja, zehera akawa anajitahidi kulegeza sura na macho yake ili amdatishe Hashiru kwa kua zehera alijua wazi kabisa huyu si mwanaume wakumuachia aliona ni golden chance yakuitumia kumteka kimapenzi.

Wakiwa wanaongea mawili matatu zehera akamuambia Hashiru anahitaji kuandaa chakula cha mchana, basi hashiru akamuagiza zehera aende katika gari katika dashboard kuna laptop amleteee, bila kupoteza muda zehera akatoka harakaharaka ndani mithiri ya housegirl aliyeagizwa na boss wake, zehera akaingia katika gari akachomoa ile raptop yenye rangi nyekundu akarudi hadi ndani, alipofika akaingia akafika kwanza katika sofa akamsogelea Hashiru na kumrarua busu katika paji la uso, basi hashiru akahisi nafsi yake imesuuzika kama moyo umemwagiwa barafu wakati wa joto kali.

Zehera akazidi kuachia tabasamu kwa uwezo wote alioumbwa nao, kisha akamkabidhi hashiru ile laptop, zehera akauliza.

"Dear nikuulize kitu??"
Hashiru akajibu
"Ok waweza niuliza bila shaka!"

Zehera akauliza
"Kwanini baby unapenda vitu vya rangi nyekundu nyekundu??".

Hashiru akamjibu
"Ok, well, napenda sababu mimi ni a man of bussiness na kuna protocol zakuzingatia".

Zehera akabaki na mshangao kichwani mwake, lakini tayari alikwisha kuanza kulewa hisia za mapenzi akaishia tu kukubali japo hakuelewa kiundani hashiru alikua akimaanisha nini.
Zehera akasimama nakuwasha jiko lake la gesi kisha akaanza kuandaa chakula, akaanza kupika samaki wake mkubwa aliyemchukua kule sokoni huku akijitahidi kwa ufundi wake wote amuunge kisawa sawa kwa kua alihofia hashiru asije akamuona hajui kupika, zehera akawa anapika huku akijihisi ni kama yupo katika interview ya ndoa kwani alihisi namna yakupika ni kigezo cha kujaribu kumvutia hashiru katika mapenzi, zehera akapika kwa kadri alivyojaliwa.

Ikiwa ni muda wa saa nane mchana tayari akawa ameivisha pilao lake safi na samaki wake safi sasa akatenga mezani na kumkaribisha hashiru. Akasogea kwa unyenyekevu akapiga magoti chini hadi nguo yake ikasogea juu na kuacha mapaja yake yakiwa wazi,hashiru alipotupa jicho akaona namna paja la zehera lilivyonona basi hamu yote ikahamia mapajani na si katika pilao, zehera alipongundua vile akatumia fursa akamsogelea na kumnyonya katika ulimi wake kwa sekunde kadhaa kisha akasema

"Mpenzi wangu karibu chakula, karibu tule wote mpenzi".

Hashiru akapagawa na kujikuta akisogea katika meza huku suruali yake ikiwa imetuna kwa mbele pale mjini chamwino.
Basi zehera akamnawisha mikono kisha akachukua kijiko akachota pilao akamlisha hashiru kisha akakata kipande kidogo cha samaki akamlisha pia, hashiru akajihisi yupo katika fukwe za mji wa mahaba akasema

"Well of, well of, nyinyi watanzania mko mwajua mapenzi, mko namahaba yenye adam na hawa walipeana!!.

Zehera kusikia vile akajua kabisa tayari ndege kesha nasa katika mtego, zehera naye akajibu

"Usijari honey, nimeumbwa kwa ajiri yakuhakikisha unapata radha hote ya mapenzi"

Hashiru akajibu
"Naaam, utanifanya nisahau kurudi kwetu"

Wakaendelea kula huku nyuso zao zikiwa zimetawala tanasam la mapenzi, wakala hadi wakamaliza kisha zehera kwa uchokozi akasimama na kusogea mlangoni kisha akaufunga kwa ndani akarudi na kumkalia Hashiru katika mapaja yake, hashiru akajihisi ni kama mtu aliyepigwa shoti ya umeme kwa jinsi mwili wa zehera ulivyokua na mvuto mkali wakimapenzi akajikuta akitamani kufanya lolote ili apate radha ya zehera.

Zehera akaivuta nguo yake ikapanda hadi kiunoni huku ikiacha mapaja yake yote yakiwa wazi kabisa, kisha zehera akiwa anajiliza liza kwa milio ya simu ya kitochi, ili kumpagawisha zaidi hashiru, palepale mizuka ya kutoka mji wa hashiru ikapanda na kutaka kushambulia jimbo la kaskazini mashariki mwa nchi ya zehera, punde si punde mapambano makali yakutumis silaha aina ya NKURUNZONZO kutoka mji mkuu wa hashiru ikaanza kupeleka moto wa mashambulizi katika makao makuu ya jimbo la zehera hali ya hatari ikazidi kutanda katika uwanja wa vita kwa kuwa mji mkuu wa zehera ulionekana kuelemewa na uzito wa siraha ya NKURUNZONZO na hivyo kupelekea sauti za miguno na milio milaini ikisikika toka kwa mji wa zehera kuashiria mji huo ulikua ukishambuliwa kiufasaha namna inavyotakikana na hivyo kuweka rekodi ya kiwango cha juu cha sauti za milio laini kuwahi kushuhudia.
Baada ya vita ya takribani dakika 42 taifa la zehera likasikika likitoa tamko.

"Oooooh, yess, ooohh goodd, hakika umenifikisha nilikokua natamani kufika, asante sana hashiru, nakuahidi utakua mume wangu wa halari".

Zikapita dakika nane kila mmoja akiwa hoi huku wakitabasamu na kucheka kwa furaha, basi zehera akasema

"Naomba leo tulale huku huku sawa!"

Hashiru akajibu
"Oo ph itakua mgumu kidogo since security ya hapa haiko sawa, na mimi ni mfanyabiashara mkubwa sana so usalama ndo kitu ya kwanza, pia gari yangu ntaihifadhi kwa wapi? iko na bei mbaya sana"

Zehera akafikiria kisha akasema
"Kwa hiyo baby we unaona tufanyaje, of cozi natamani tena turudie we ni mwanaume, nimependa sana ubora wako".

Hashiru akajibu
"Well of, mi nilikua naonelea ni njema tungekwenda wote hadi kwa hotel niliyofikia, huko pana cctv security naweza kuwa comfortable, then ningependa ukukuje kuhama hii mtaa, haifai, tafuta nyumba mzuri yenye quality me ntalipa any cost".

Zehera kusikia vile roho yake ikasuuzika kabisa akatamani hata ampe hashiru mwili wake wote kwa kua ndoto ya kumiliki nyumba ilikua ni ya zehera kwa kua uzuri na urembo wake alitamani apate mwanaume tajiri wakugharamia thamani ya uzuri wake.

Zehera akapiga magoti pale kitandani kisha kasema huku akibubujika machozi kama mtu aliyekosa kitu fulani kwa muda mrefu akasema,

"Hashiru naomba, naomba niokoe maisha yangu nimsaidie mama na wadogo zangu, nipo tayari kukupa kila utachotaka toka kwangu"

Hashiru huku akimfuta machozi zehera akasema
"Usijari baby, kuanzia leo mimi ni mme wako na nakwenda kubadilisha maisha yako na ya familia yako,"

ITAENDELEA...........



TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21