MPENZI CLARA EPISODE 9



MPÉNZÎ CLÄRÀ

EPISODE (09) ✓
...........................


ILIPOISHIA
'''''''''''''''''''''''
Lakini mala kidogo akahisi kama kuna mtu amesimama nyuma yake alipogeuka akuona kitu chochote akadharau sasa ile anakuja kuludisha macho upande wa pili (mamaaah!!! nakufaaah!!!) zilisikika kelele tu kutoka chumbani kwa delvick...

!!!!!! ENDELEA NAYO SASA !!!!!!
..................................................

(jamani uyo jeeeh huko chumbani kwake au atakua kanasa kwenye umeme waliulizana ndugu zake pale sebuleni baada ya kusikia makelele)

EMU TULUDI KWA MSHIKAJI SASA

wewe kijana unajifanya mjuaji sana eeehe?! njoo tuonyeshane ukenge sasa nimekuja kwaajili yako ahahahah!!!! ahahah!!!! ahahah!!!! aliongea CLARA huku akicheka kicheko cha kijini jini

(DELVICK- aaaah! weeeh!!! mimi nilikua naimba zangu sitaki huko ukorofi tu muone kwanza jamani sitaki au nimekumbuka naomba buku nikanunue maji ya kunywa)

aliongea delvick kwa sauti ya uwoga sana yani uwezi amini pamoja na kujimwambafai kote kule ila mbele ya clara alikua mdogo ghafla kama button za rimoti

(CLARA- sasa sikia wewe kijana leo nakusamehe lakini nakuonya acha kubishana na watu ambao hauwafahamu sawa na kama ukiendelea tena nitakuonyesha kua mimi ni Clara au Laaah)

alipomaliza kuongea alipotea zake

(DELVICK- dah!!! yani afadhari hata alivo ondoka maana nilikua hoi hapa lakini amenitia jamba jamba aseeh ahahahah!!!) alijisema mshikaji lakini mala kidogo mlango wake una funguliwa weeeh dogo vipi mbona una ingia bila hata kugonga mlango aliuliza kwa ukali kidogo

Amna bro tulisikia makelele kwaiyo mam dogo aliniagiza nije nikuangalie kama umepatwa na tatizo lolote alijibu yule mtu aliingia

(DELVICK- anha okay poa nenda kamwambia me niko poa but sema nilikua nipo (live tiktok) si unajua tena unyama ni mwingi ahahah!!!)

Basi yule dogo alitoka zake na kwenda kuludisha majibu kule sebuleni

BASI TULUDI KWA MCHIZI (joh)

wakati uwo nikiwa nimetulia zangu kwenye sofa nacheki zangu movie la (predator) huku nikipata zangu maji ya baridi taratibu ila mala kidogo ikaingia sms kutoka kwa (Sarah) ilisomeka ivi

SMS

(mY saRah)
hey mume mambo?! siku hizi mbona umenizila sana yani hata kunijulia khali tu imekua tabu au haunipendi ?!

(mY Joh)
amna sio kama sikupendi ila sema tu mambo ni mengi muda mchache mpenzi wangu alafu si unajua kua mume wako ameludi so me siwezi nikaja hapa kwa sababu bado nahitaji kuishi maana uyo mumeo milaba kama 8 au 9 ivi sasa na huu mwili wangu siku akinikamata si ngumi moja tu me chali miguu juu

(mY saRah)
Hapana bhnaaa yule amesha ondoka wewe njoo tu bhnaaa acha uwoga plz nakupenda nimekumic atiiih

(mY Joh)
mh!!! akuuuh mimi siwezi nikaja huko labda tukutanie guest au wewe unasemaje

(mY saRah)
sawa tu so ni guest gani?!

(mY Joh)
njoo kilimanjaro hotel si una pafahamu?

(mY saRah)
ni ile golofa iliokua karibu na tulipokutana siku ya kwanza siku ile usiku?

(mY Joh)
Yeap ni pale pale fanya chap basi ukishafika utanicheki

(mY saRah)
ok soon tu ntakua tayari nishafika hapo coz si unajuaga vile nimekumic joh?!

(mY Joh)
okay balidi fanya chap chap tembea mwendo wa difender basi

kisha nikaendelea zangu kucheki movie langu ila kidogo nikawaza kwamba ngoja nikajiandae ili niweze kukutana na mtoto mzuri sarah tena kama ikiwezekana yeye anikute tayari nishachukua room basi nilifanya ivo baada ya muda kidogo nilikua niko gudi nikatoka zangu njee kisha kuingia kwenye dinga na kuianza safari ya kuelekea (kilimanjaro hotel) ilikua ni mwendo wa dakika chache tu nifike lakini najikuta kila nikizunguka sifiki

nikicheki time ni saa 2:30 usiku na wakati Ghetto nimetoka saa 1:00 usiku na kutoka Ghetto mpaka kilimanjaro kwa mguu unatumia dakika 5 hadi 6 sasa nashangaa kwa gari inakuwaje nitumie muda wote huo nikajiuliza au hotel itakua imebomoka mh! lakini kama ingekua imebomoka si ningekua hata ma baki ma baki ya takataka ila mbona jana ilikuwepo au nimesahau njia 

nikiangalia mbele naona njia ninayopita iko sahii sijakosea sasa inakuwaje sifiki lakini wakati nikiwa najiuliza mala kidogo simu yangu ikaita kucheki jina (mY saRah) nilipokea 

(mY saRah- Hello me nishafika niko hapa saizi wewe uko wapi fanya haraka basi mwenzio nimezidiwa huku jamani JOH)

ITAENDELEA...........


TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21