SAA ZA MWISHO EPISODE 5
SAA ZA MWISHO
Ep 5
S.P. Owino
Iliingia siku ya tatu ambayo iliku alhamis hospitalini kulikua kimya angalilikua tulivu ata afya yangu kidogo ilikua na unafuu, dada alikua ameamka mapema Sana aliingia na kikapu ndani kulikua na kifungua kinywa!!
Sim iliita dada alienda kuipokea du! Kumbe kulivyo kucha kwetu sio Kama kulivyo kucha kijijini dada alipewa taarifa ya kushangaza kwamba madogo amepotea watu walipo amka asubuhi madogo hakuonekana mpaka mdahuo ilikua saa3 asubuhi!
Huku kijijini vijana waligawanyika kumtafuta mamdogo wakimuita mama aliomba police wasiitwe kwanza mpaka juhudi zao zikishindwa kuzaa matunda, lakini ngoja mama aliviona viatu vya mamdogo alipoingia ndani aliviona pia vingine inamaanisha alikua peku!
Nje ya ile nyumba kulizungukwa na nyasi hivyo ilikua ngumu kufuatilia nyayo watoto wote waliambiwa waingie ndani ili wasije waka kanyaga kanyaga kuwa changanya Ila kijana mmoja aliekua anaitwa Mika alisema mbele kidogo ameziona hatua Kama za mtu mzima peku peku!!
Ilibidi ata lile Jambo la Bibi lihairishwe watu wote eneo lile waanze kumtafuta mamdogo!! Mika aliwafikisha kwenye hatua n ataratibu walianza kuzifuatilia ziliwapeleka mbali zaidi mdapia ulizidi kusogea walizifuatia hatua zile mpaka saa7 mchana! Hii ilimaanisha mamdogo atakua alianza Safari usiku naalipo kua akielekea haikujulikana
Huku Kaka aliona awaite police jambo ambalo mama alikua amelizuia.
Hospitali lile Jambo lilinistua dada Helena aliomba kutoka nje kidogo ndani ya kile chumba nilibaki mwenyewe! Mlango ulikua umerudishiwa dirishani alipita dada mmoja aliekua amefunika uso wake Ila alipo fika pale dirishani aliandika kwaalama za dama "BADO SIKU 2" nilipiga yowe kelele aliingia nesi na dada alirudi haraka Sana nilidhani ni ndoto Ila leo adi wao wenyewe waliliona lile neno pale dirishani, likiwa na dam mbichi mpaka ikakaukia palepale! Wagonjwa waliokua wapo hospitalini pale walishangaa wapo walio piga picha.
Ilikua saa9 alasiri
Hatimae walifika mwisho wa nyayo za mamadogo!!Nyayo zile walipo ziangalia vizuri nikama mamdogo alipofika eneo lile alikua akijizungusha eneo lile, Kaka nae tayari ameshapigasim polisi Ila alikua akijaribu kuwaelekeza kwani polisi walikaa mbali kidogo na eneo lile,
Ila walipo jaribu kichunguza zioe nyayo vizuri waligundua pale chini kilikuwepo na nyayo zaidi ya mtu mmoja kwani walipo zitazama ilionekana eneo lile kulikua na nyayo mpaka zanwatoto wadogo vijana wakati na watuwazima, hivyo waligundua kumbe pale walikuwepo watuwengi lakini wakijalibu kutazama watuhawa wametokea wapi hakuonekana.
Ila ilionekana nyayo za mamadogo zikitembea mpaka eneo lile Ila walipo tokea watu hao haonekani nabaada yaapo walipo elekea pia haonekani wengi waliini pale Kuna mbo ya giza hivyo watu wengi walipendekeza jambo laziada inabidi lifanyike ili wampate mamdogo inaonekana Kama alikua akivutwa!
Huku hospitali nesi walikua bado wanalishangaa lile neno la dam pale dirishani, dada Helena alikua akiyashangaa yanayo tokea aliogopa kunitaarifu kuhusu mamdogo kupotea kwake, ilipofika saa 1 usiku usingizi mzito ulinipitia niliota ndoto " nikiwa maeneo ya kijijini tukua familia nzima nakatika ndoto hiyo Bibi alikua bado mzima na mamdogo alikuwepo, karibia familia nzima tulikuwepo walipika chakula chausiku tulikula wote, hayukua nataratibu za kuomba kabla ya kulala.
Kilamtu alitawanyika Ila Mimi usingizi haukunipata kabisa nilikurupuka nilipo sikia kelele nikaamka haraka chaajabu mule ndani kila MTU alikua amelala hakuna ata mmoja Alie zisikia kelele zile, nilihisi zikitokea chumbani kwa mamdogo nilipoingia chumbani kwake, nilimkuta Bibi akiwa namavazi ya nesi yule anae nisumbua, alikua ameshikilia kisu mkononi, alimuua mamdogo kwakumchom mamdogo kisu!
Nilipiga kelele Ila nyumba nzima hakuna Alie nisikia Bibi alianza kunisogelea kila alipo sogea alizidi kubadilika nakufanana kabisa Kama yule nesi anaefanya vioja huku hospitali, alikua akitoa harufu Kali sana Kama mtu Alie jiozea."
Nilistuka ilikua saa2:30 asubuhi.
Niliogopa Sana kuhusu ile ndoto niliwaza yawezekana inaweza ikawa anae nisumbua nibibi Ila hapana kwamaana amesha fariki lakini ata kule kijijini kaburi lake lilididimia chini Aya mambo yalinichanganya!
ITAENDELEA........
TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni