CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21



MASSAGE ROOM 🔞

SEHEMU : 21

STORY : BADRU SINGH



📱Kazi Gani??📱

Mama Mtu Aliuliza Huku Akiwa Na Shauku La Kutaka Kujua Hiyo Kazi Anayotaka Kupewa Na Mwanawe

""Nataka Niwe Nakutumia Pesa Iwe Unaniwekea Huko""

Khafidhi Alimueleza Mama Yake

📱Kunitumia Pesa Kivipi Kwani Umeshapata Kazi??📱

""Ndio Mama Kazi Nimeshapata Na Tayari Nimeshaanza Hivyo Nataka Wewe Ndio Uwe Kibubu Changu Kila Nikipata Hela Niwe Baadhi Nakutumia Wewe Uniifadhie Mana Nikikaa Nazo Zote Huku Itakuwa Shida""

📱Ahaa Sawa Sasa Kazi Gani Umepata??📱

Mama Mtu Alikuwa Na Maswali Mengi Kweli Akimuuliza Mwanawe

""Nimepata Kazi Kwenye Saloon Kubwa Sana Ambayo Mastaa Wengi Wanakuja Hapo""

Khafidhi Akamiongopea Mama Yake

📱Ahaa Sawa Haina Shida Mwanangu Ni Hiyo Mwisho Wa Mwezi Utanitumia Lakini Pia Uwe Makini Na Kazi Za Watu Khafidhi📱

""Hapa Hakuna Cha Kusubiri Mwisho Wa Mwenzi Yani Leo Hapa Nataka Nikutumie Laki Sita Lakimoja Ya Kwako Na Laki Tano Uiweke""

📱Khaa!! We Khafidhi Wewe Hela Zote Hizo Umezipata Wapi We Mtoto??📱

Mama Mtu Aliuliza Kwa Mshangao Baada Ya Kusikia Pesa Anazotakiwa Kutumiwa Na Mwanawe

""Aaah Mama Si Nimekwambia Nimeshaanza Kazi??""

📱Mmmh !! Mwanangu Mwanangu Kuwa Makini Usije Ukawa Mwizi Huko Mjini Mi Nakujua Ohoo Shauri Zako📱

""Usijali Mama Mi Sio Mwizi Ila Ni Mshahara Wangu Pamoja Na Posho Zangu""

📱Mmmh Sawa Baba Kama Ni Hivyo📱

""Sawa Mama Nakutumia Mda Si Mrefu""

📱Sawa📱

Basi Khafidhi Akakata Simu Kisha Akazihesabu Pesa Akachukua Laki Sita Na Elfu Kumi Kisha Akatoka Akaelekea Moja Kwa Moja Kibanda Cha Tigo Pesa Alimtumia Mama Yake Kisha Akarudi Nyumbani

Basi Siku Hiyo Ilipita Na Hatimae Asubuhi Ilifika Khafidhi Kama Kawaida Yake Akajiandaa Kwa Ajili Ya Kutoka Kwenda Zake Kazini Alipomaliza Kujiandaa Alitoka Nnje Na Kumkuta Mama Yake Mdogo Akiwa Tayari Kashaamka Yupo Sebuleni

""Shikamoo Mama""

Khafidhi Alimsalimia Mama Yake Mdogo

""Marahaba Baba Hujambo ""

""Sijambo Za Kuamka""

""Tunamshukuru Mungu Naona Kazini Hiyo""

""Ndio Mama ""

"",Haya MunguvAkutangulie Safari Njema Na Kazi Njema""

""Asante Mama Nawe Ubaki Salama ""

Basi Khafidhi Alitoka Zake Mdogo Mdogo Mpaka Kwenye Kijiwe Cha Pikipiki Akapanda Na Kuondoka Zake Mpaka Majira Ya Saa Moja Kasoro Asubuhi Alishafika Saloon Na Kumkuta Eliza Tu Yule Mfanyakazi Mkuwa Wa Pale Akifanya Usafi

""Mambo Vipi Bidada""

Khafidhi Alimsalimia Eliza

""Oooh Safi Khafidhi Mzima Wewe""

""Mi Mzima Kama Chuma Sijui Wewe""

""Mi Nipo Good""

""Na Shemeji Nae""

Khafidhi Alimuuliza Ki Uchokozi

""Atokee Wapi""

""Aaaah Jamani Uzuri Wote Huo Unataka Useme Hakuna Mtu Aliyeweka Booking Kweli""

""Wanaume Wenyewe Wapo Wapi Bwana Wakujivunia Nao ""

""Eeeh Inamana Si Sio Wanaume""

""Sijamaanisha Kama Sio Wanaume Ila Sasa Hivi Hakuna Mwanaume Ninae Muamini """

""Alaaa Kumbe Kwahiyo Hutakuja Kuolewa Wewe""

""Baadae Sana Lakini Si Sasa""

""Duuh Hatari Kweli Kweli Sasaaa... Au Basi""

Khafidhi Alitaka Kuuliza Kitu Lakini Akasitisha

""Au Basi Nini?? Mbona Umekatisha Ongea""

""Hapana Nitakwambia Baadae""

""Mmmh Sasa Kukiwa Na Wateja Itakuwaje?? Si Uniambie Sasa Hivi Kwani Kuna Ubaya Gani""

""Mbona Una Haraka Bibie Ngoja Nikafanye Usafi Kwanza Kisha Nitakwambia""

""Mmmh Sawa""

Basi Khafidhi Akaingia Zake Katika Chumba Anachofanyia Kazi Akaanza Kufanya Usafi Haikupita Muda Monika Nae Alifika
Alimsalimia Eliza Kisha Akaingia Na Yeye Katika Chumba Cha Massage💆 Akamkuta Khafidhi Yupo Bize Na Kufanya Usafi

""Mambo Khafidhi ""

Monika Baada Ya Kufika Ndani Alimsalimia

""Poa Nambie Mrembo""

Khafidhi Alimuitikia Huku Akihema

""Poa Hee Kufanya Usafi Kidogo Tu Ndio Wahema Kama Hivyo""

""Aaaah We Acha Tu Kazi Zina Wenyewe Hizi""

""Hee Sasa Hicho Chumba Chako Nani Atakufanyia Usafi Kama Ndio Hivyo""

""Nitajua Hapo Hapo ""

Basi Monika Akajumuika Na Khafidhi Wakaanza Kufanya Usafi Baada Ya Hapo Walipanga Vitu Safi Kisha Wakakaa Kupiga Story Wakisubiri Wateja Wakiwa Wapo Pale Mara Simu Ya Khafidhi Iaita Kuicheki Alikuwa Ni Maadam Rose
Akaipokea

""Hallo""

📱Vipi Baby Wangu 📱

""Safu Za Asubuhi""

📱Nzuri Upo Wapi 📱

""Nipo Kazini Hapa""

📱Ahaa Basi Njoo Hapa Majaribio Mara Moja Sasa Hivi📱

""Sawa Nakuja""

Basi Khafidhi Akakata Simu

""Vipi Wapi Tena""

Monika Aliuliza

""Aaah Mama Ameniita Mara Moja Hapo Majaribio""

""Mama Au Wifi Yangu""

""Amna Bhana Bado Sijakuwa Nae Halafu Sina Namba Zako Niandikie Kama Kukitokea Mteja Unicheki""

Basi Monika Aliandika Namba Zake Na Kumpatia Kisha Khafidhi Aliondoka Kuelekea Alipoitwa Na Jimama Lake Alipofika Alimkuta Maadam Rose Amesimama Pembeni Huku Akiwa Na Gari Dogo La Kubeba Mizigo Likiwa Limebeba Baadhi Ya Vitu

""Nambie Maadam""

Khafidhi Alipofika Aliongea

""Safi Nimekuita Hapa Uende Na Hii Gari Ukashushe Vitu Na Upange Mi Naenda Ofisini Nimeshawalipa Kila Kitu ""

""Sawa Hina Shida""

Basi Khafidhi Alifurahi Sana Alipanda Ile Gari Na Kuelekea Mtongani Alipopangishiwa Chumba Alipofika Walishusha Vitu Vyote Kisha Vyengine Vizito Yule Dereva Alimsaidia Kuingiza Kama Sofa Na Mabezi Ya Kitanda Alipomaliza Kumsaidia Yule Dereva Alimuacha Khafidhi Na Kuondoka Zake Basi Akawa Ana Kazi Ya Kupanga Sasa Alipanga Vile Anavyopenda Yeye Chumba Kilikaa Safi Kabisa Mpaka Mwenyewe Alitabasamu
Akiwa Pale Mara Simu Yake Iliingia Meseji

📥Mambo📥 ...

ITAENDELEA......

BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU, MUITE NA MWINGINE.

SIMULIZI ZA CHOMBEZO TUTAKUWA TUNAWEKA USIKU TU.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5