MPENZI CLARA EPISODE 8
MPÉNZÎ CLÁRÄ
EPISODE (08) ✓
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ILIPOISHIA
....................
(DELVICK- aaah!!! jamaa sasa wote si tumekaa hapa alafu unaniuliza sema juice ume piga fundo moja tu umemaliza yote inaoneka ulikua una kiu sana kaka Ahahahah!!! Alicheka sana
!!!!! ENDELEA NAYO SASA !!!!!
sasa wakati mshikaji ana nicheka huku akiangalia juu ile anakuja kuludisha macho kwenye plate yake ana kuta birian hakuna (Heeeeeh!!!) aliongea (Delvick) kwa mshangao kidogo oya kaka kwani chakula changu hapa amechukua nani? Aliniuliza huku akiangalia huku na kule (Ahahahah!!! bro sasa unamuuliza nani na wakati wote tumekaa hapa hapa iyo tayari wamechukua wa kulungwa aseh ahahahah!!! nilimjibu huku nikicheka sana
(Delvick- oya sikia JOH yani kama awo majini wako sijui ndo mashetani wako sasa naona wanaingia pabaya mimi sio wewe sasa ngoja niwaonyeshe ukenge oya nyie vibwengo mlio kula birian yangu hapa fanyeni haraka mludishe chakula changu alafu kama kweli nyie miamba basi tokezeni ili tuonyeshane ukenge sijui mnanisikia nyie vibwengo tokezeeni basi mafala nyie mbona kimya kumbe mnaogopa eeehe?!!)
Aliongea mshikaji kwa kujiamini sana aseeeh sasa me nikashanga kua Pamoja nayeye kuongea yale maneno yote lakini sijaona dalili zozote za clara kutokea au yule bibi nikasema eehe!!! leo mmepata kiboko yenu maboya nyie sasa mbona hamtokei ahahahah!!!
niliongea kwa sauti kubwa mno mpaka watu waliokua pembeni waligeuka na kututazama sisi
Ahahah!!! kaka leeeeh ooooh oooh kabla sijamalizia kutamka mala ghafla nikamuona CLARA ametokea nyuma ya kiti alichokua amekalia DELVICK nilianza kubana bana maneno
(DELVICK- vipi wewe mbona una ogopa ogopa kuongea sema tu kaka leo umewakomesha na lazima niwakomeshe watoto wa dogo tu wale pumbafu)
Aliongea mshikaji kwa ujasiri mkubwa bila kujua kua CLARA tayari yupo nyuma yake tena alionekana kua na hasira kweli kweli
kaka wa kulungwa tayari tupo nao hapa hapa utauponza shauri nilimwambia mshikaji kwa unyonge sana
(DELVICK- wewe acha uwoga babu sasa we uzani kwa ile meneno yote niliyo ongea hapa kuna kijini chochote ambacho kitaweza kutokea hapa njooni sasa nione kama kweli nyie ni miamba) alingea kwa kujiamini sana mshikaji
mala ghafla akaitwa (delvick) alishituka kidogo baada ya kuitwa vile sasa ile anataka kugeuka nyuma ili amuone mtu ambaye ana muita aaah!!! wapi!!! alichezea bonge la mkofi alienda mpaka chini kisha aliposimana pale alitoka mbio moja kwa moja mpaka kwenye gari yake na kuanza safari ya kuelekea home kwake me nilikufa kucheka aseeeh tena sio peke angu hata kwa watu waliokua pembeni yetu walicheka sana kwa lile tukio kwa sababu wao walimuona tu mtu kaanguka na alipo inuka moja kwa moja kwenye gari bila kumuona mtu alisabisha yote yale sasa wakati me nipo pale naendelea kucheka mala nasikia
nawewe emu kelele apo una cheka cheka nini au una taka nikugeuze kua sungula eeeehe naongea na wewe tena kuanzia saizi nakuludisha nyumbani alivomaliza kuongea vile tu mala nikaona giza mbele yangu nilipokuja kuona mwanga nashangaa nipo Ghetto yani nimeludishwa mimi na gari yangu (mamaaaaa weeeeh) nilipiga kelele kwa sauti huku nikiangaika angaika tu
TURUDI KWA (delvick) SASA
mshikaji alitoka mbio mbio mpaka home kwake alipofika alipaki gari yake haraka haraka na kushuka kisha kuelekea ndani alifika sebuleni na aliwakuta ndugu zake baadhi wakiwa wana angalia TV lakini yeye alipita kwa kasi ya 4G moja kwa moja mpaka chumbani kwake alifika chumbani kwake alikaa kitandani na kuanza kujiuliza kimoyo moyo
(Dah!!! leo nimekoma walahi yani nimepigwa kofi ambalo sikuwai kupigwa before lakini yote haya nimeyataka mwenyewe kujifanya kidume kumbe sina lolote ona sasa jini limeanza kunizoea na mimi sasa dah!!!! ama kweli mwana kulitafuta mwana kulipata ila okay balidi saizi wakiingia tena kwenye anga zangu hatoki mtu jino moja kudadekiiii)
Lakini mala kidogo akahisi kama kuna mtu amesimama nyuma yake alipogeuka akuona kitu chochote akadharau sasa ile anakuja kuludisha macho upande wa pili (mamaaah!!! nakufaaah!!!) zilisikika kelele tu kutoka chumbani kwa delvick...
AYA SASA KIHELEHELE CHA BWANA delvick KINAMFANYA NAE AINGIE KWENYE MATATIZO AMBAYO YALIKUA HAYA MUHUSU KABISA JE NI YAPI YA TAFATA BASI USIKOSE SEHEMU IJAYO JAMAA KAFA BADO HAIJULIKANI
ITAENDELEA......
TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni