MPENZI CLARA EPISODE 6



MPÉNZÌ CLÅRĀ

EPISODE (06)
iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


ILIPOISHIA
-----------------
(Aweeeh kamkalibishe baba akooh) nilimjibu kisha nilikimbia moja kwa moja mpaka kwenye gari niliwasha gari kisha nikasepa zangu tena kwa speed sana mpaka majilani zangu nahisi walishangaa maana sio kawaida yangu hapa sasa naenda zangu kwa SARAH nilijisemea huku nikiwa na tetemeka kama boya vile

+++ENDELEA NAYO SASA+++

niliendesha gari kwa speed sana yani round hii hakuna kusikiliza amapiano wala hip hop muda mchache baadae nilikua nishafika mpaka kwenye geti la (Sarah) nilianza kupiga mi-hon kama chizi yani nilisahau kabisa kua ile nyumba sio ya kwangu kweli baada ya dakika 2 yule kafupi alitoka ndani lakini alifungua mlango mdogo oiiih broda vipi mbona una piga makelele hapa na wakati father house yupo hapo ndani jombaah aliongea yule kafupi

What?!!!!! unasemaje?! wewe kaludi lini uyo mzee emu acha zako bhnaa wewe emu nifungulie geti huko me nipite zangu NILIONGEA KWA HASIRA SANA

KAFUPI- aseeh bro me nakupenda sana na ndio maana nimeona bora nikuambie tu ukweli maana nilijua tu kua wewe ni mwizi wa mke wa boss lakini alivomaliza tu kuongea vile mala naskia sauti inauliza (JAYDAN) unaongea na nani huko njee ilikua ni sauti nzito ya kiume yani sauti iliyoshiba nga nga ngaaa alafu ilikua inasongea karibu na lile geti emu sogea habari yako kijana vipi mbona unapiga makelele kwenye mageti ya watu asubuhi yote unashida gani?!
Aliniuliza yule mzee kwa ukali kidogo

(aaah!!! father me ni mtu wa Dawasco nimekuja kukagua bili ya maji hapa nyumbani kwako nilimjibu kwa uwoga kidogo kwa heri mzee nikawasha gari na kusepa zangu dah!!! sasa ili ni bala gani tena mbona kila sehemu ninakoenda ni majanga tu ila nikawaza nimcheki bro ili nimuelekeze lakini nilipo angalia simu sikuiyona mle kwenye gari ndipo nikakumbuka kua simu niliiacha home wakati namkimbia clara dah!!! sasa hapa narudi vipi tena mle ndani jamani mbona tunapeana majalibu lakini ngoja nikakionyeshe umafyaaa kile kijini maana mimi mwenye hapa mjini kitambo sasa leo kitafulahi na show

Nilijisemea kimoyo moyo wakati nipo njiani naludi home maana niliona hapa nikiendelea kumuogopa Yule demu nitashindwa kufanya harakati zingine kweli nilikua na moyo wa ujasiri ila nilipokalibia tu kufika Ghetto ghafla nilijawa na uwoga tena nilisimamisha gari na kuichek Ghetto kwa mbali nakaona liwalo na liwe kuda deki leo afe kipa afe beki au mpila upasuke lakini lazima nikakitoe kile kijini mle ndani

Niliwasha gari moja kwa moja mpaka getini nilikuta geti lipo wazi vile vile kama nilivoliacha basi nikaingia zangu ndani kisha na shuka kwenye gari na kwenda kuegesha geti ili hatakama kikinuka huko ndani nisipate shida pakupita aseeeh nilitembea mdogo mdogo mpaka kufika sebuleni sikuweza kuona chochote nikaelekea chumbani niliweza kuiyona simu yangu ipo pale kitandani niifata nakuichukua kisha nikaludi mpaka sebuleni nitulia zangu kwenye sofa nilianza kujiuliza mbona saizi kupo kimya sana au wakulungwa wamesepa nini yani hichi kijini kina bahati sana yanu kama ningekikuta tena hapa ndani kingekoma leo pumbafu yani tuna penda kusumbuana tu Alaaaah!!!

basi nilipoanza kuipekua simu yangu nilizama kwenye massage nikakuta sms ya sarah (HEY MY JOH JAMANI USIJE NYUMBANI MUME WANGU KALUDI USIJE MPAKA NITAKAPO KUAMBIA MIMI NAKUPENDA SANA)

Dah!!! kumbe huyu demu alinichek aseeeh ila balidi tu sikumjibu ile sms nikaona ngoja nimcheki bro ili nimuelekeze kweli simu iliita kidogo kisha akapokea hey morn bro nilimsalimia

(Michael- safi dogo vipi kwema huko?!)

Dah!!! sio kwema kaka yani nimajanga tu hauwezi amini nimekutana na jini kaka yani hapa saizi maisha yangu yamekua kama ya mganga ivi

(Michael- ahahah!!! dogo acha zako wewe jini ukutane nae wapi bhnaa labda sema ulikua umelewa tu bro)

Kaka sio pombe ila ndo hivo jau tu me sielewi ujua kama vipi nitumie nauli me nije tuishi wote tu huko huko but kabla sijamalizia kuongea mala nikahisi kama nimeguswa sikio ivi ila nilipo geuka sikuweza kuona kitu nikajua labda ni mdudu tu hey kaka kama vipi me nije tu huko huko bhnaaa niliendelea kuongea na simu

(Michael- acha uwoga dogo alafu kuanzia leo inatakiwa uwache kulewa maana naona kabisa kunakoelekea unaenda kua boya) aliongea kisha alikata simu

Dah!!! yani hata bro nae hataki ku-amini etiiih jamani sasa ndo nini wakati najiuliza pale mala ikaingia sms ya (Zai Cute) hey baby jamani nime miss kukuona emu nitumie picha yako WhatsApp au washa data nikupigie video call) aaah!!! uyu nae etiiih anataka kunipigia video call wakati bando lenyewe la mchogo ili ngoja nipige picha nimtumie tu chap basi nika washa data nakuingia Whatsapp sasa wakati naweka pozi ili niuze sura kwa mtoto zai sasa nikiangalia kwenye simu naona tupo wawili yani nipo mimi na clara yupo pembeni yangu ila nikigeuka kucheki upande wa pili simuoni mtu 

nikaona labla ni wenge langu tu nikaweka pozi tena sasa round hii sijui alikuja mama yake yule maana kalikua ni kabibi sana ila nilipo geuka kucheki sikuweza muona mtu nikajua tu sasa hapa kumekucha tena maana wakulungwa nao wanataka wauze sura kwenye camera nilisimama na kuanza kusepa modogo mdogo kama kinyonga

ITAENDELEA ..........








TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21