JUNE 17 EPISODE 6
JUNE 17
EP 6
S.P.Owino
Ilikua siku ya ijumaa mvua ilikua ikinyesha mji ulikua Safi kulikua kumetulia, ilikua June 21!
Mzee Mathias pamoja na mkewake walirudi kutoka likizo, gari liliwaleta mpaka mlangoni nikawashusha walishuka namizigo kutoka huko walipokilua. Mzee aligonga mlango wageti akisubiri Judi ambae nidada wakazi aje kuufungua mlango! Lakini huyu mzee Mathias alionekana kabadilika sio yule wamwanzo najua itakustua lakini utaelewa. Nyuma kidogo wakati Judi alipo ajiriwa ndani ya nyumba ile Kama mfanyakazi kunasiku waliingia mafundi wakuchimba visima, walipima wakaanza kuchimba Ila baada ya week moja kuisha kile kisima kilonekana hakina maji! Sikuhiyo mzee aliomba ikiwezekana kifukiwe ili waweze kuchimba eneo lingine.
Pale nyumbani walipoishi alikuwepo mbwa walimpa jina la "Bob" kilicho tokea sikuhiyo kilikua chakutisha, yule mbwa alikua amelala ghafla aliamka akaanza kutoa sauti za kutisha akizunguka huku na kule kila mtu alibaki kumtazama Ila ghafla alianza kukbia akielekea pale walipo chimba kisima, alijitupa mule ndani puu!! Mzee aliwagombeza wale findi kwanini wamefanya uzembepaka yule mbwa kadondokea mule ndani!
Kilichokuja kuiacha familia nzima mdomo wazi nipale alipokuja mzee Mathias akaamua kumulika mule ndani ya kisima kwakuyumia tochi ya sim! Chaajabu anamkuta yule mbwa kafa lakini amechinjwa shingo, kichwa na mwili pembeni.
Kila mmoja Jambo Hilo Lili mstua wale mafundi waliogopa kuendelea na kazi waliondoka mdaule ule! Ilibidi mzee Mathias, Judi pamoja na mama mwenye nyumba waanze kulifikia kile kisima kwani kilichotokea kiliwatisha!!!!
LEO!!
mzee Mathias alishangaa humu ndani hakuna mtu lakini alipo iangalia mlango wa geti vizuri aligundua umefungwa kwa nje Yani ndani hakuna mtu!! Pia hakuna kufuli hivyo mzee Mathias pamoja na mkewake waliamua kuingia ndani! Walipo ingia waliona mazingira nikama yanamda hayajafanyiwa usafi! Lakini lile eneo ambapo mwazo palichimbwa kisima palionekana pako Safi, mwanzo nikisema mzee Mathias alionekana kabadilika nikwasababu alikua hakumbuki Kama Alisha Wai kua namtoto, sijui Nini kimemkuta huko saafarini!
Kwasababu mpaka mda huo alikua ajamuulizia mtoto walie muacha na mfanyakazi lakini alikua akimuulizia mfanyakazi tu!
Mchungaji haliyake ilizidi kuimarika baada ya mda aliomba kuondoka ili akamuangalie Judi kituoni! Nesi walimruhusu aondoke, wale wazazi kituoni walizidi kushtaki juu ya watoto wao waliopotea huku Judi haliinazidi kua mbaya hawezi kuongea Wala kusikia.
Hukunyumbani wameingia Kama nilivyosema mzee Mathias alionekana hakbuki chochote kuhusiana na mtoto, Ila mama alionekana kunavitu anavifaham Ila hataki kuvisema,
Mchungaji aliingia kwenye gari aliwaomba wanawe waliokuwapo pale hospitali wamsubiri mama kwani mchungaji alishauriwa asiendeshe gari, hivyo mkewake aliamua kumuendesha haraka Sana mchungaji aliommba apelekwe kituoni. Alipo fika alikua anatafutwa hivyo polisi walimvaa wampiga pingu mkewake alishangaa Yani " umekuja ili ukamatwe mchungaji alimuomba mkewake arudi kwawatoto hospitali akidai atakua salama. Walimuingiza ndani ya chumba cha mahabusu!
Yule polisi mkuu aliingia akamfuata mchungaji moja kwa moja alipo mkaribia alimsalimia akamwambia unaonekana Kama mtumishi Ila wewe ni shetani! Yule polisi alimchukua mchungaji kwa lazima akampeleka alipokua Judi alipo mfikisha, ndo mchungaji anamkuta Judi akiwa anatoka dam nzito machoni mdomo umefumba hawezi kula Wala kuongea pia hawezi kusikia! Yule police akaanza kuuliza mchungaji umependa ulicho kifanya sasa??
Mchungaji alitoa machozi akimtazama judi, Binti aliekuja kanisani kwake kuomba msaada ilimuuma Sana mchungaji!! Aliinama chini kwamda akilia Judi alikua ameishiwa nguvu kabisa yupo pembeni ya ukuta kwani hawezi kula!!
Polisi kwa hasira alimbeba mchungaji akiitaji kumtoa nje ya kile chumba Ila kumbe mchungaji alikua na mahesabu yake kichwani alipo mfikisha mlangoni mchungaji alimsukuma polisi nje akajifungia pamoja na Judi ndani ya selo! Kwauchungu ukuakitoa machozi alianza kuomba maombi ya mchungaji yalikua ya uhitaji wa kweli alionekana kuogopa lakini aliamua kumuuliza Mungu! Yule polisi alipigamagoti akijaribu kusapoti Yale maombi mazito yaliyo tendeka pale!
Kulikua kimya polisi akiwa bado ameinama chini mchungaji alimuita akimwambia lete chakula
Mdomo wa Judi ulikua umefumbuka japo umejaa vidonda nikama ulikua ukiachanishwa kwanguvu!! Polisi aliaimama akaodoka kwenda kuleta chakula!!
ITAENDELEA.....
TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni