MPENZI CLARA EPISODE 2



MPENZI CLARA

EPISODE (02)✓

ILIPOISHIA.....
Okay Sarah hapa tuliokutana jana usiku pale maeneo ya mwembe yanga wewe sindo (JOH) eeehe?!!

ENDELEA NAYO SASA

Oooh!!! kumbe ndio yule mrembo wa jana usiku uliechukua namba yangu pale njiani eeeh?! sema sorry nipe kama 2 minutes alafu nitakupigia maana saizi kuna mizigo naifatilia hapa (Airport) okay mrembo?!

(SARAH- okay poa) alikata simu

Baada kama ya dakika 25 nilitoka njee ya !Airport) na mizigo yangu yule dereva boda sasa daaaah

(DEREVA BODA- bro mbona slow sana fanya chap chap basi tuondoke maana nimepigwa na jua sana hapa alafu inabidi tuongeze boda nyingine kwajili ya hiyo mizigo yako au mimi nitangulie na mizigo alafu wewe utapanda dala dala) ALIMALIZA KUONGEA

Aaaah!!! bro na wewe mbona unakua unaongea sana kama ka-mtu kaaah (IRINGA) humo ndani kuna process unapitia mpaka kupata mzigo wako kwaiyo hauwezi kuingia tu nakutoka kama choo cha bar kwaiyo wewe funga hii mizigo kisha me nikaitisha boda nyingine na safari ikaanza ya kuelekea home dakika chache tulikua tumeshafika home nilimpa yule boda hela yake nikabaki na yule mwingine sasa oya bro kwaiyo ni bei gani hapa

(DEREVA BODA- nipe 20 tu mzee)

mh!!!! kaka 20 yote hiyo kweli emu acha tamaa basi mjini hapa wewe kula 14 tu bro me sina hiyo pesa alafu mbona yule jamaa mwingine kaniambia buku 5 tu

(DEREVA BODA- oya emu acha dharau basi na kazi za watu bro alafu hivi nikuulize swali wewe hii pikipiki ni ya baba akoooh?! maana ule muda niliokusubili pale atalipa nani ndio maana nimekuambia unipe elfu 20 kwa sababu nilikusubili lakini naona bro unaleta miuno tu hapa aya fanya unipe buku 17 mimi niondoke zangu sihitaji kesi saizi)

Okay hapo sawa sasa iyapa bro naomba change yangu nilimpa elfu 20 jamaa aliniangalia kinoma yani kisha akanipa change yangu ahsante sana bro sasa nilikua naomba unisaidie kubeba mpaka hapo ndani tu alafu nakuongezea buku

(DEREVA BODA- kamwambie baba ako akusaidie kubeba boya wewe)

Alintia kauli kisha aliwasha pikipiki nakusepa zake ........

Dah!!! yule mshkaji kantia kauli ila balidi sio kinyonge kwanza nimebaki na hela ya vocha hapa kwa sababu sio kusema kwamba hela ya kumlipa nilikua sina ila niliamua kumzingua tu

niliingiza mizigo yote ndani na nikapika zangu msosi wakati
nakula ndipo nikakumbuka kumbe nilimwambia mtoto (SARAH) kua nitampigia simu baada ya dakika 2 ila sasa ya likua ya meshapita masaa 2 nilishika simu yangu nakumpigia simu mtoto (SARAH) iliita kidogo kisha akapokea hallo!!!! nambie

SARAH- poa vipi uliniambia dakika 2 lakini matokeo yake ni masaa 2 sasa ndio una nipigia simu lakini sio mbaya coz ndio asili yetu wa bongo
Aya nilikupigia simu ili nikusikilize ulikua unataka kusemaje (JOH)

oooh!!! sorry bhnaaa si unajua tena mambo ni mengi muda mchache ila emu twende kwenye point SARAH wewe ni mtu mzima pia nahisi utakua unafahamu me ni kitu gani nahitaji kutoka kwako mpaka siku ile niliamua kuomba namba zako yani niongee tu in short sarah me nimetokea kukuelewa sana aseeeh
fanya makeke basi wote sisi ni watu wazima nifungulie moyo mrembo

(SARAH- lakini si una kumbuka
nilikuambia kua mimi ni mke wa mtu eehe?! kwaiyo mume wangu akijua itakua ni bala nzito ila kwa sasa ayupo bongo kaenda Dubai kikazi na ataludi baada ya miezi 2 kwaiyo leo baadae kama utaweza njoo home kinondoni studio)

Okay poa me baadae mapema tu nipo zangu pande hizo yani usiwaze kabisa kuhusu ilo mumeo hawezi akajua chochote kati yetu 

(SARAH- aya poa napenda the way unavo ongea (JOH) I LOVE YOU

Kisha alikata simu....

Duh!! yani leo mtoto mwenyewe kangia mtegoni na jinsi lilivo shombe! shombe!!! sasa yote tisa kumi pale nyuma ndio balaaah jamani jamani jamani lawama hizi yani me bora uninyime vyote lakini sio unikataze mademu aah!! tutazingua aseeeh mtoto SARAH
tena leo sichukui bajaji wala boda boda nitaenda na gari yangu yani leo kungulu mweusi na mpiga maji safi akitoka hapo njee unasema gari ya mbunge kumbe ni (JOH wa SARAH)
ahahahah!!! ahahahah!!! Ahahah!!!

Basi usiku uliingia na nikafunga safari moja kwa moja mpaka home kwa mtoto nilifika getini nakupiga hon (PEEP PEEP PEEP) alitoka dogo mmoja hivi mfupi kisha akafungua geti basi niliingiza gari mpaka ndani 

(SARAH oooh!!! karibu sana jamani (JOH) me nilizani utapotea karibu sana jisikie kama uko nyumbani)

Okay thanks sana pia me siwezi kupotea bhnaaa coz hapa town kitambo kwaiyo chocho zote tuna zijua vizuri nimekuja na zawadi

(SARAH- uwaaaooh thanks jomoni karibu ndani (JOH) hapa njee baridi)

Basi tukaelekea sebuleni me nikatulia zangu kwenye kochi wakati uwo nipo bize na simu yangu mala kidogo nasikia kilele upande wapili 

uuuWaaah jamani hii zawadi ni nzuri alafu mbona amepatia kabisa SIZE ya kiuno changu jomoni (JOH)
ILIKUA NI SAUTI YA (MTOTO SARAH)

basi mala kidogo akatoka kule ndani akiwa amefunga kanga moja tu na juu akiwa amevalia kishati kifupi 

(SARAH- sorry nilikuacha peako hapa lakini sasa nimekuja unatumia juice gani?!)

Dah!!! Thanks sana lakini sijiskii kunywa kitu chochote saizi nilimjibu huku nikimtazama mtoto jinsi alivokua bombaaah 

(SARAH- oh!! my god why hautaki kunywa juice jamani)

aliongea huku akinifata nakuja kukaa karibu yangu....

Basi tukaanza kupiga story hizi mala zile mala tuleteane utani huu male hulee baadae kidogo naona mtoto SARAH ana anza kuni papasa papasa kifuni mala taratibu akasogeza lipsi zake mdomoni wangu na tukaanza kupeana juice ya asili lakini wakati tunaendelea  ku enjoy mala mlango una gongwa ngo!!! ngo!!! ngo!!!

HAYA SASA (joh) AMEENDA NYUMBANI KWA (Sarah) NA 
WAKATI WAPO SEBULENI WANA PEANA (romance) MALA MLANGO UNA ONEKANA KUGONGWA NA MTU ASIE JULIKANA NA (Sarah) NI MKE WA MTU USIKOSE SEHEMU IJAYO

ITAENDELEA.......



TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21