JUNE 17 EPISODE 2



JUNE 17

**Ep2**

S.P.Owino

Akiwa ndani ya kanisa aliendelea kusimulia kilicho tokea usiku ule anasema nilihisi watu wawili wakiongea sebleni niliamka na kapapasa ukuta niweze kuziwasha taa, lo! Kumbe umeme ulikua umekata ilinibidi niiwashe tochi ya sim yangu nikisoa taratibu sebuleni! Nilikua na usingizi Ila ilinibidi kwasababu ndio kaziyangu kuangalia nyumba wakiwa wamelala!
Nilipo fika sebleni mh! Amelala mke wabosi Ila mtoto mdogo wa mwaka mmoja alikua macho halii alikua akinitazama tu usoni! Nilimuamsha mama mama amka aliamka akaniuliza saa ngapi nilimjibu saizi saa 8:23 usiku mtoto anang'atwa na mbu mpeleke kwenye neti nakumbuka aliniambia saw embu we kalale Kuna kipindi nilikua nakisubiri Ila kimesha nipita kumbe nilipitiwa na usingizi, aliniomba nikalale. Ilinibidi nirudi chumbani kwangu nilifunga mlango, nilipo tizama nje dirisha la chumba changu niliona taa a kiwaka! Sasa kwanini kwetu umeme hamna sikuchukulia maanani kwani yawezekan unit zimeisha japo hua Ningumu Sana Jambo Kama Hilo kutokea! Nililala.
Ilikua saa 12: asubuhi
Sikuhii niliamshwa na kelele nilikua bado na usingizi nilipo tulia niligundua Kuna ugomvi kwani ile sauti ilikua aniya bosi Mathias na mkewe, ghafla niligingewa mlango Judi? Judi? Fungua mlango niliufungua nikaanza na Salam Ila akuna Alie itikia waliniuliza usiku Nani Alie mpeleka mtoto sebleni kwasababu mama anasema alilala namtoto pembeni yake! He! Lile Jambo lilinistua kwani usiku nilimuona mama natoto sebleni mida ya saa nane usiku!
Nikisema nilimuona mama usiku sebleni!? Mama aliniangalia vibaya baadae kidogo akaniuliza Judi! Mimi uliniona nikiwa na mwanangu saa nane usiku nikasema eeh Ila umeme haukuwepo nilikuamsha uende chumbani ulikubali ukaniomba nirudi chumbani mmewake alimtazama akaindoka alijiandaa nakumbuka sikuhiyo hakula chochote aliondoka kwenda kazini.
Ndani kulikua kimya kwani sikujua kwanini mama alikua vile Ila baada ya mda kidogo aliingia chumbani kwake akamlaza mtoto!
Ilikua saa 1:30 asubuhi
Aliniita kwa nje!!!!!



ITAENDELEA........



TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21