CHOMBEZO: MASSAGE ROOM SEHEMU YA 1



MASSAGE ROOM

SEHEMU : 1

STORY : BADRU SINGH



Baada Ya Kumaliza Masomo Yake Ya Form Four Kijana Khafidhi Aliamua Kutoka Zanziba Na Kwenda Dar Kwa Mama Yake Mdogo Ili Angalau Akatafute Kazi Ya Kujikimu

Kijana Huyu Alikua Ni Mwenye Vipaji Vingi Mno Mana Alijua Kuimba Alijua Kunyoa Yani Alikua Ni Mwepesi Wa Kuiga Fani Za Wenzake
Alikua Ni Kijana White Yani Mweupe Mwenye Macho Ya Duara
Basi Siku Hiyo Alipanda Boti Mpaka Dar Kwa Mama Yake Mdogo Ambae Yeye Mwenyewe Alipendelea Kumuita Odo

""Karibu Mwanangu""

Odo Mtu Alimkaribisha Mtoto Wa Dada Yake

""Asante Shikamoo Odo ""

""Marahaba Za Huko""

""Huko Safi Tu ""

Basi Walikaribishana Na Kwakua Khafidhi Hakua Mgeni Katika Nyumba Hiyo Wala Hakupata Shida Sana Alikua Anajua Mpaka Chumba Chake Cha Kulala Mana Ilikua Kila Akipata Likizo Lazima Aende Huko

Lakini Kitu Kingine Ambacho Khafidhi Anacho Ni Kuwa Na Maumbile Makubwa Sana Kitu Ambacho Hata Yeye Mwenyewe Hakukipenda Mana Aliona Kinamkosesha Mademu Kila Akitongoza Demu Wakifika Geto Wanamkimbia Kitu Hicho Alikua Hakipendi Mno Na Alipanga Kuja Kumwambia Baba Yake Mdogo Ambae Alikua Ni Bwana Afya Rabda Anaweza Kumsaidia

Basi Siku Hiyo Alikua Kama Ameifika Wiki Jinsi Anavyofanya Kazi Na Ukizingatia Odo Yake Alikua Yupo Peke Yake Hivyo Alimsaidia Kazi Za Hapa Na Pale Mpaka Jioni Baba Yake Mdogo Alipo Rudi

""Shikamoo Baba ""

""Marahaba Oooh Khafidhi Vipi Baba""

""Safi Tu Pole Na Kazi Baba""

""Nishapoa Ehee Za Huko""

""Huko Safi Tu""

""Sawa Mama Yako Yuko Wapi""

""Naona Yupo Jikoni""

Basi Mzee Aliinuka Mana Alikua Ameishia Sebuleni Alipomkuta Khafidhi Akicheki Picha
Na Kuelekea Alipo Mkewe Kweli Alimkuta Mkewe Akiwa Anamalizia Kupika

""Karibu Mume Wangu""

""Asante Nishakaribishwa Na Khafidhi""

Mzee Huyu Alikua Akimpenda Sana Khafidhi Kutokana Yeye Bado Hakubahatika Kupata Mtoto Alimfanya Kama Mwanawe Wa Kumzaa

""Halafu Khafidhi Aliniulizia Kuhusu Wewe Akidai Kuna Mazungumzo Anataka Kuongea Na Wewe""

Odo Mtu Alimueleza Mumewe

""Sawa Ngoja Nikaoge Kwanza""

Basi Mzee Yule Alioga Kisha Akatoka Mpaka Sebuleni Alipo Khafidhi

""Haya Nambie Baba Mana Nimepata Habari Kama Una Mazungumzo Na Mimi""

""Ndio Baba Nikweli Mana Mi Najihisi Nina Matatizo Katika Mwili Wangu Na Sijawahi Kumwambia Mtu Yoyote""

""Matatizo Gani Hayo""

""Mi Sijui Baba Rabda We Ukiyaona Unaweza Kuyagundua Ni Matatizo Gani""

""Haya Hebu Nionyeshe Nione""

""Hapana Sio Hapa Baba Rabda Twende Ndani Mana Hapa Odo Anaweza Akaja""

Basi Mzee Alimsikiliza Wakainuka Na Kwenda Katika Chumba Cha Khafidhi
Baada Ya Kufika Khafidhi Alishusha Suruali Yake Na Kutoa Dudu Lake
Mzee Alihamaki Baada Ya Kuona Mkwaju Wa Mwanawe Ulivyo

""Tatizo Lenyewe Ni Hili Baba ""

""We Mtoto Umechanjia Nini Mbona Sio Kitu Cha Kawaida Kwa Mwanadamu Mana Hapo Ahalijasimama Hivi Linasimama Hilo""

""Ndio Baba Na Ndiomana Sivaagi Bukta Mana Linaposimama Linakua Halina Siri""

""Mmmh Hii Hatari Ok Kesho Tutakwenda Sote Kazini Kuna Mwana Mama Ni Bingwa Wa Mambo Hayo Sawa""

"Sawa Baba Nitashukuru Kama Utanisaidia Mana Sizani Kama Ntaoa Nikibaki Hivi""

""Kwanini ""

""Mana Kila Mwanamke Ninaempata Akiona Tu Anakimbia""

""Usijali"

ITAENDELEA......

BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU, MUITE NA MWINGINE.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21