MCHORA KUCHA PART 08
MCHORA KUCHA
TUNZI: McLAURIAN
PART: 08
ILIPOISHIA,
Noel aliingia na Mr. Kucha chumbani mwake huku akijua kuwa ni mwanamke..
SONGA NAYO....
Akiwa ameshikwa mkono, Mr. kucha alianza kutetemeka huku akiwa hajui nini afanye kwa mda huo.
Akiwa anarembua macho yake kama kinyonga huku akilegeza mikono yake, hatimaye Noel alifanikiwa kumuingiza chumbani kisha harakaharaka akafunga mlango.
Wakati Noel anafunga mlango, Mr. Kucha alitoa macho kwa mshangao kisha akamuuliza,
"'Shemu mbona unafunga mlango?" Aliuliza kwa sauti ya kurembua
"'Kuna nguo nimekuletea hivo nataka uijaribishe ndo maana nikafunga mlango.."
"'Mmhh..hapana shemu sio vizuri ."
"'Kwani shida iko wapi?, ebu sogea bwana" Noel amlivuta Mr. Kucha mpaka kitandani kisha akampiga busu moja matata ( mmmm....mwaaaa).
Ambalo lilimfanya Mr. Kucha kugeuza shingo lake ili asimuangalie vizuri usoni.
"Shemu bwana kwanini hivo lakini" Mr. Kucha alilalama kwa sauti ya kirembo ambayo ilizidi kumchanganya Noel.
Wahenga wasema " kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji" ndivo ilivyokuwa kwa Noel ambaye damu ilikuwa imechemka kwelikweli.
Kwakuwa mke wake alikuwa karibu, ilimuhitaji dakika chache kukamilisha kazi ndipo alipomgusa kifuani moja kwa moja kwenye chuchu ya kushoto.
Mr. Kucha aliruka juu kwa ungalifu mkubwa ili wigi lisitoke huku akiomba miujiza itokee kwa wakati huo.
Noel hakukata tamaa ndipo alipoingiza mkono wake katikati ya miguu ya Mr. Kucha hali iliyomfanya ashutuke.
"'Shemu..shemu...nipo kwenye siku zangu.., niache.." kwa sauti ya upole aliongea.
"Hapana unanidanganya...."
" Kweli kabisa kwanini nikudanganye?" Mr. Kucha alijitetea.
"Siamini ngonja nihakikishe..." Noel alimshika paja kwa nguvu lakini Mr. Kucha alibana kwelikweli ndipo Noel aliposhangaa kwa nguvu alizokutana nazo .
Alimuchia kisha akampiga busu nyingine 3 mpaka midomo yake ikawa na rangi nyekundu.
"Shemu siku nyingine ..bwana nifungulie..."
"Lini utamaliza siku zako?"..
"'Kama siku tano hivi hivo tufanye siku 7"
"Bado utakuwepo hapa?"
"Ndiyo..."
"'Sawa ila usimwambie dada yako kuwa nakutaka.."
"Sitomwambia..."
"Ayaa. .chukua kiasi hiki kikusaidie kwa matumizi yako.." Noel akiwa katika mzuka mkali, alimpatia elfu 30 kisha akamfungulia mlango.
Kama bahati hivi, vile wanafika sebuleni, Lisa naye ndo alianza kugonga mlango kisha akafunguliwa.
Baada ya kuingia, macho yake yalienda moja kwa moja mpaka kwa Mr. Kucha kisha akaachia tabasamu.
Noel aliona tukio hilo lakini hakuwazia chochote huku akiomba alindiwe siri yake .
Mr. Kucha alianza kunywa soda huku wakipiga story za hapa na pale mpaka hapo usiku walipopata chakula cha usiku.
Baada ya chakula, sasa ulikuwa mda wa kuoga ndipo Noel alipokaa karibu na mlango wa kwenda bafuni huku akitaka walaua achungulie mguu na wowowo likiwa kwenye kanga.
Mr. Kucha alikuja kivingine hali iliyomuacha Noel kinywa wazi japo hakuongea chochote.
Kama alivyokuwa amevaa, ndivyo alivyoingia huku akiwa na wigi lake kama kawaida.
Noel alicheka peke yake ndipo Lisa alipomuuliza,
"'Unacheka nini mme wangu?"
"'Hapana wala hamna chochote.."
"'Nambie bwana na wewe" alimshika mgongoni..
"'Nitakwambia tukiwa chumbani..."
"'Hee chumbani tena!, leo nitalala na ndugu yangu maana anamatatizo ya akili kidogo hivo wakati mwingine akiwa peke yake anadondoka..ndo maana kaja huku.."
"'Hee! Asee kweli atakuwa na ugonjwa wa akili maana kaenda kuoga akiwa na wigi na nguo zote alizokuwa amevaa"
"'Jamani mme wangu kumbe ndo kimekufanya ucheke?, Mungu anakuona"
"'Hapana sikujua kama yuko hivo. Sasa leo mke wangu itakuwaje?"
" kuhusu nini"
"'Bado hujajua tu..."
"'Eeh niambie.."
"Nina hamu na wewe my sweetie mara baada ya kukaa mbali na wewe kwa zaidi ya wiki 3 hivi.."
"Mmmh..mi si nipo mme wangu!? , mi wakwako mda wote ila siku hizi kipindi ndugu yangu yupo jikaze kidogo japo najua unaumia lakini vumilia my switie ..mmmmwaaah" Lisa alimwambia mmewe kisha akampatia busu.
"Kwani tukimaliza huwezi kwenda kulala naye?"
"'Unajua ni mengi natakiwa nikwambie lakini sharti mojawapo kulala naye unatakiwa usiwe umelala na mme"
"'Duuh ayaa bwana..."
"'Umekasirika mme wangu.." alimshika ndevu..
"'Hapana my..."
"Ndo maana nakupendaga..."
Lisa kwa tabasamu la aina yake, alimuaga mmewe kisha akatangulia chumbani na kuanza kutandika huku akimsubiria Mr. Kucha
Baada ya kumaliza, alivua nguo zote kisha akajifunga kanga na kujigalagaza kitandani huku roho yake yote ikiwa inatamani sukari ya mchora Tatoo huyo iliyompandisha kwa mara ya kwanza kilele cha mlima kirimanjaro.
Baada ya mda mfupi huku akiwa anajikuna mwili mzima, Mr. Kucha aliingia chumbani humo ndipo aliposhangaa kumuona Lisa akiwa amejigalagaza kitandani.
"Hee..: alitoa sauti ya mshangao kisha....
ITAENDELEA....
BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU
Maoni
Chapisha Maoni