SAA ZA MWISHO EPISODE 7
SAA ZA MWISHO
Ep 7
S.P.Owino
Alipiga yowe kumuita mmewake arudi,
Lakini mmewake akiendelea kunisogelea yule dada hakugundua kwamba pale chini zilikuwepo nyayo zaidi ya Mti mmoja! Alizidikumuita. Mkewake alishuka kwenye gari ili kumfuata mmewake, alipo mkaribia mmewake pia alikua amesha mfikia yule dada alimshika mkono ghafla yule dada alisimama watoto walikua wakichungulia kwenye kioo cha gari. Sas chaajabu wanamuongelesha wakimuuliza kuhusu njia yakuelekea kijijini, lakini hajibu, ndipo anapoamua kusogea mbele yake ili amtazame anakuta kumbe huyu dada amelala hajafumbua macho!
Sasa kipi kinachomuongoza njia nzima, ndipo wakaamua kumuacha aendelee na Safari yake, nipo mke anamuonyesha nyayo pale chini zinazo ambatana na dada huyo. Inaonekana miguu ya watoto watuwazima miguu mingi Sana lakini watu hawaonekani anaonekana tu huyo dada "Mimi nahisi huyu atakua yule Alie potea kule kijijini"
HOSPITALI:. Mimi huku hospitali haliyangu ilikua nzuri nikua niliota jua mdaule, dada alinifuata nilipokua nimekaa akaniuliza vipi unajisikiaje? Nilimjibu nipo Safi Ila nahitaji kurudi nyumbani aliniuliza unauhakika upo sawa nilijibu ndio, alifurahi aliniomba nimesubiri akaongee na madaktari ili aweze kuruhusiwa kuondoka!
Wakati dada anaondoka juu nilihisi Kama dirisha Lina gonga gonga nipo tazama juu nikamuona Sasa yule nesi anaenitokea alikua akichungulia dirishani, surayake Leo niliiona vizuri alionekana Kama mzee lakini hii sura nikama naifaham! Niliogopa Sana nilipo mtazama kwamda alitikisa kichwa sikujua anamaanisha Nini! Akatoweka.
KIJIJINI: mama alikasirika kwa kitendo cha Kaka kuwaita polisi alimuomba Kaka arudi mjini, mama alimwambia kwaukali Sana akidai Kaka anajaribu kuamua mambo nawakati wapo wanao mzidi umri! Lile chumba walipo mkuta Bibi walikifunga mtu yoyote asiingie, wajomba walikusanyika pamoja na wanakijiji wengine walisema inavyo onekana hayayote yanayo tokea sababu inawezekana ikawa ni huyu Bibi haijulikani Nini kimesababisha lakini waliwaomba vijana wachimbe kaburi ili waweze kumzika!!
Kaka aliingia ndani ya gari akawaaga wajomba japo hawakuonyesh akumfurahia akaamua kurudi kijijini! Aliwasha gari akaanza safari. Hatimae alikutana na ile familia bado walikua wamekwama kwani kwahakika zile njia zili changanya! Walimsimamisha Kaka alisimama wakamuuliza kuhusu njia ya kijijini. Kaka aliwaelekeza lakini kabla hajaondoka walimsimulia Kaka kuhusu mtu waajabu walie kutana nae!! Kaka aliwauliza ameelekea wapi wakamuelekeza.
HOSPITALI: yule nesi alitoweka pale dirishani, niliogopa nikaamua kurudi ndanilakini nilipishana na dada mmoja akanishika begani akiniuliza Kama nimesha pona nilimjibu ndio na ninatarajia kurudi nyumbani aliuondoa mkono begani! Hakuongea Tena akaondoka!
Wakati naingia nilimuona dada Helena akipaki nguo na vitu vingine kwaajili ya kuondoka aliagana na baadhi ya nesi alio fahamiana nao kwamda mfupi. Aliniomba nibebe begi moja tulianza kutoka nikiwa salama kabisa Ila tulipo fika karibu na geti, nilihisi maumivu makali Sana begani nikaanguka ghafla lilianza kuwasha dada Helena alipiga kelele kuomba msaada nesi waaliwai nilikua nikitoa povu mdomoni dam zilitoka puani!
Nilirudishwa ndani wakaanza vipimo upya Sasa wanapo amua kuvua shati ili waone hicho ninacho lalamikia wanakuta bega limebadilika rangi limekua jeusi Kama mkaa!! Alafu limeanza kutoboka toboka, pia kunaalama ya mkono( yawezekana niyule nesi nilie pishana nae)
KIJIJINI: Kaka alikua akiendesha gari kwa kasi zaidi kufuatilia huyo alieambiwa ni binadam waajabu yeye akiamini anaweza kua ni mamdogo! Kaburi pia lilizidi kuchimbwa ili kuuzika mwili wa bibi!
ITAENDELEA..........
TUPATIE NYOTA 5 KWENYE APP YETU KULE PLAY STORE NA KU COMMENT ILI TUPATE SUPPORT YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni