BALAA LA PENZI LA JINI, PART:07



BALAA LA PENZI LA JINI

MTUNZI: McLAURIAN



PART: 07



Ilipoishia, Baada ya shughuli pevu na ya aina yake, miili yao ilijaa chasho kama waliomwagiwa maji ndipo Zayna aliponyoosha mkono wake na madirisha yakafunguka.
Haya sasa, Dicky aliambiwa aendelee hivohivo kwa round nyingine kabla hajatowesgwa ndipo alipofanya hivo tena kwa sifa mpaka Zayna kwa mara ya kwanza akahisi sumaku inakuwa ya moto. Alitoa sauti kali sana ambayo ilipenya kila sehemu.

Sauti hizo zilimfikia moja kwa moja Kaylin ambaye alikuwa sebuleni.
Harakaharaka alikwenda stoo kisha akachukua jambia kisha akafungua mlango taratibu kwa kunyata.
Baada ya kuufungua, alijibanza ukutani ndipo alipitega masikio yake vizuri kujua wapi sauti zatokea.....

SONGA NAYO...

Ama kweli kila mchuma janga hula na wa kwao ndivyo mambo yalivyoanza kuchemka kama uji wa moto uliomiminiwa maziwa ya moto.
Taratibu Kaylin alinyata kama kinyonga amuwindavyo nzi huku mkono wa kulia ukiwa umeshikilia jambia .

Aligeuka huku na kule kuona kama kuna mtu pembeni lakini hakuona dalili zozote zile ndipo alipozidi kusonga mbele huku akiwa hajui anaenda kupambana na nani.
Kamasi nyeopesi zilianza kumchuruzika mithili ya mchuzi wa dagaa huku uso wake ukiwa na mikunjo kwa hasira za aina yake.

Hatua mbili tatu zilipigwa ndipo alipofika mpaka eneo la tukio lakini cha maajabu sauti kali ya mahaba iliyoambatana na miguno kama mtu mwenye kigugumizi, ilianza kusikijka pembeni mwake ndipo aliposhutuka na kugeuza shingo lakini hakuona kitu.

Kaylin alisimama kwanza kisha akasogea nyuma kidogo huku akiwa amesimamisha masikio yake kama sungura aliyehisi harufu ya mbwa.
Wakati amesimama, sauti ilisika sebuleni mwake ndipo kitete kilivyozidi kumpanda Kaylin.

Baada ya kuona hivo alirudi ndani kisha akachukua tochi ambayo ilikuwa inamulika kwelikweli kwa umbali mrefu sana.

"Hapa sasa tuone na ujanja wao kama sitowaona! " Kaylin alijisemea mwenyewe kisha akatoka nje huku mwanga mkali wa tochi ukiwa unaangaza kila sehemu .

Haya sasa, Dicky ambaye alikuwa amechoka kwilikweli kama jogoo wawili waliotoshana nguvu, alishangaa kumuona mke wake akiwa anaelekea kwenye gari huku akiwa na jambia mkononi.

"Mke wangu kaja ohooo ..naomba ujifiche asikuone ili nimdandanye! "Akiwa anatetemeka kama mgonjwa wa kimeta, Dicky alimwambia Zayna ambaye alikuwa amemkumbatia .

"Hee! Mke wako ni mimi tu wala huna mke mwingine na leo ninaenda na wewe kwenye makazi yangu ya milele".
Zayna alimjibu Dicky kisha akanyoosha mikono yake juu na kuishusha hali iliuyomfanya Kaylin ashindwe kulikagua gari hilo.

" Tulia sasa kwa sasa hutoonekana ila kwa leo lazima twende wote nyumbani.." Zayna alimwambia Dicky huku akiendelea kuumumunya mhogo wa chang'ombe japokuwa ulikuwa umelala na kusinyaa kama utumbo wa kuku wa kisasa.

Wakati vimbwaga vinazidi kushamiri ndani ya ndinga, Kaylin alikosa muelekeo wa wapi sauti zinatokea kwani kila alipogeuza shingo tu, alizisikia nyuma yake ndipo alipobafdilisha mtizamo wake kwanza.

",Hivi hizi sauti ni kweli au naota? Mmh isiwe naota mwenyewe halafu napoteza usingizi wangu bure. Lakini sasa kaenda wapi? " Kaylin alijisenea mwenyewe huku.akiwa amejishika kwenye nyugunyu zake.

Akiwa amesimama gafla ndege mkubwa ambaye alikuwa na macho makubws sana kama machungwa huku masikio yake makubwa ambayo yalikuwa na muonekano kama ya binadamu huku akiwa amenona kweli mwenye kilo kama 20 , aliruka huku akiwa anaunguruma kama gari lenye mzigo mkubwa mlimani.

Ndege huyo si mwingine bali alikuwa bundi wa ajabu ambaye alimfanya Kaylin apige kelele na huku akikimbilia ndani kwani alikuwa anawaogopa sana bundi.

"Mama...mama...! " Kaylin alipiga kelele kisha akaingia ndani kwa haraka sana na kufunga milango yote huku akiwa anatetemeka.

Baada kufunga milango, aliingia chumbani kwake kisha akafunga milango na kuwasha taa zote.

Alijilaza japo mwanga ulikuwa mkali sana .

Haya sasa huko kwenye gari, mambo yalianza kuwa magumu sana kwa Dicky mara baada ya kuambiwa hivi..

"Mda wako wa kuwa duniani kama mwanadamu wa kawaida sasa umebakia dakila 10 tu hivyo basi mali na vitu vyako vyote utaviacha hapa na hakuna atakayejua wapi umeenda. Nakupa dakika 3 za kuomba na kuwapungia mkono ndugu zako kwani hutowaona tena kwa sababu umeshagusa kitambaa cheupe" Zayna alijibadisha sura yake kisha kima akamwambia maneno hayo.

"Yooo...yooo...yooo...usiniue...yooo...mama..!" Haja ndogo ilimchuruzika Dicky huku ikindikizwa na machozi ya damu.

"Usinililie bali ndo utaratibu ulivyo na umebakiza dakika 6.." Zayna akiwa ameachama kama mamba mwenye njaa, alimwambia Dicky.

Dakika zilianza kuhesabika huku kwa kitaalamu ni kama dakika za lala kwa mkono wa buriani kwa Dicky...

JE ILIKUWAJE...?

USIKOSE SEHEMU IJAYO ILI KUJUA NINI KILIFUATA....

BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU, MUITE NA MWENZAKO

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21