BALAA LA PENZI LA JINI, PART:06



BALAA LA PENZI LA JINI

MTUNZI: McLAURIAN


PART: 06

Ilipoishia,
Naye Dicky..., aliingia ndani ya gari yake huku kichwa kikiwa kinamuuma kwelikweli.
Haya sasa, akiwa anaanda majibu ya na maelezo ya kutosha, Zayna alianza safari yake akiwa anapaa angani mpaka nyumbani kwa Dicky.

Sekunde chache sana, Dicky akiwa kwenye gari alishangaa kuona mwanga mkali ukiwaka huku kikionekana kitu cha ajabu, vinyweleo vyake vilisimama ndipo alipotoa sauti ya mshangao.

"Hee!.." Nini hiki...Dicky alisema huku akiwa ametoa macho

"Leo ni leo.." Sauti ilisikika kwenye gari ndipo Dicky alipotaka kufungua mlango wa gari lakini haukuweza kufunguka...

SONGA NAYO....

Dicky kusikia sauti hiyo, hofu ilimjaa moyoni mwake, vinyweleo vyake vilisimama kama panya aliyejificha ili asiliwe na Paka.
Bila kuchelewa alianza kuhaha huku na huko ili aweze kutoka kwenye gari ndipo alipopata akili ya kupita dirishani.

Taratibu akiwa anaangaza macho yake, aligusa kioo cha dirisha ili aweze kukishusha lakini alikutana na sauti hii,

"Naomba usinishike tafadhari..!"

Dicky alitoa macho kama mjusi aliyebanwa na dirisha kisha akapiga kelele sana..

"Mamaa..., mamasa! Naomba msaada"

"Hahaha! Unafikiri kuna wa kukupa msaada hapa! Tulia.." Sauti ilisikika na kiumbe cha ajabu kikajitokeza hadharani huku kikiwa kinatisha kwelikweli.

Dicky alitamani kuzimia mara baada ya kuona kiumbe hicho cha ajabu sana na cha kutisha ndipo aliponibanza kwenye ukuta wa gari yake na kuendekeza kelele ambazo hazikutoka nje ya gari hilo.

Haya sasa, kiumbe hicho si mwingine bali ni Zayna binti mrembo sana mwenye kuishi kaburini ndipo alipomsogelea Dicky nakumkumbatia.
Dicky baada ya kukumbatiwa, alitokwa na kijasho chembamba kwa mda mfupi kisha Zayna akasema,

"Kwanini umenidanganya...!umenichezea bure kumbe una mke wako sasa leo utajuta.." Akiwa ameachama na kuonesha meno yake marefu yialiyokuwa yameha kinywani kama ya ngiri, Zayna alimwambia Dicky.

'Naomba unisamehe sikujua kama upo hivi..." akiwa anawewesuka miguu yake kama fundi cherehani, Dicky alijibu.

"Hee! Nikusamehe wakati umeshanichezea! haiwezekani yaani mda huu nakutoa roho na utatoweka katika hali ya kudunia ila utapata uhai tena kaburini na tutaishi wote. Kumbuka kitambaa cheupe ulichokishika hautoweza kunikimbia hata kidogo mpaka hapo.." Zayna akiwa anashika kifua cha Dicky alimwambia.

Dicky aliinamisha kichwa chake chini kisha akakumbuka maneno ya maheremu baba yake aliyompatia enzi za ujana wake ndipo machozo yalipoanza kumtoka

"Mwanangu, dunia hii sio sehemu salama hata kidogo, ridhika na chako wala sio kila king'aacho ukadhani ni dhahabu kwani mengine ni mawe tu .." hayo yalikuwa maneno ya marehemu baba yaje.

Ukimya ulitawala kwa mda huo huku machozi yakiendelea kumbumbujika kijana huyo lakini binti mrembo Zayna ashika kitambaa chake cheupe na kuanza kumpangusa machozi kwa makini ili kucha zake zisimjeruhi Dicky.

Dicky akiwa anapanguswa, alibaki njia panda huku akiwa na shauku kubwa ya nini kitafuata.
Mwanga uliwaka na kuzimika gafla katika gari hilo ndipo Zayna alipojitokeza katika sura mpya kabisa ya kirembo.

Alimkumbatia Dicky na kumuachia busu kali lililosisimua kila kiungo cha mwili wake yaani kuanzia nywele mpaka kucha za miguuni.
Licha ya muonekano wa kurembo aliokuja nao Zayna, moyo wa Dicky haukuwa na amani tena huku ukiwa umenyong' onyea na kujikunja kama ule wa korosho.

Taratibu Zayna ambaye mwili wake ulikuwa mlaini kwelikweli, alianza kumvua kaushi kijana Dicky huku akipitisha viganja vya mikono yake katika kifua cha Dicky kilichokuwa kimejaa kwelikweli kama vya washusha mizigo wa Mwananyamala.

"Mme wangu nakupenda sana, mda huu nina hamu sana na wewe kabla sijakutoa uhai wa kidunia, naomba unifurahishe mpaka niridhike.."Zayna akiwa anajitingisha kiuno chake kama miss wa urembo, alimwambia Dicky

"Naogopa sana na siwezi .." Dicky alisema .

"Hee! Unasema! Ngoja" Zayna alichomoa kitu ambacho kilikuwa na umbo kama mfuko wa kinyonga wa majini kisha akakishika mkononi mwake ndipo Dicky alipohaha na kumkumbatia Zayna mwenyewe..

"Yoo...! Nimekubali...nimekubali nisamehe usiniue maana nina mali nyingi..." Dicky alitoa sauti hiyo ndipo Zayna aliporudisha kitu hicho kwenye mkoba wake.

Haya sasa wakati kwenye gari mambo yanakwenda mpelampela, Kaylin ambaye alikuwa amejilz kitandani huku akitafakari nini akifanye mara baada ya kuhisi mme wake anamcheat, alishangaa kuona mme wake haji chumbani kwa takribani dakika 40 sasa.

Kitanda kilikuwa kichungu kwake huku akiona kama miba vile kulala peke yake ndipo.alipojisemea mwenyewe kwa uchungu mkubwa sana.

"Sasa nimemwambia ukweli anasusa kulala na mimi anafikiri ananifanyia vizuri au.., ila ipo siku maombi yangu yatajibiwa"

Kaylin baada ya kujisemea mwenyewe, alinyoosha miguu kitandani lakini usingizi ulikosa kabisa licha ya hali ya hewa nzuri yenye kiubaridi kwa mbali iliyosababishwa na mvua.

Alinyanyuka kitandani hapo kisha akaenda kumuangalia mme wake sebuleni ndipo alipokuta sebule ikiwa kimya bila mtu yeyote.

"Ameenda wapi huyu! Amerudi tena...au amejinyonga!" Kaylin kwa mshangao mkubwa alikisemea kisha akaanza kumuangalia kila chumba mpaka maliwatoni lakini hakuweza kumuona.

Kaylin alizidi kukichanganya kichwa chake huku hasira zikizidi kumpada kwelikweli.
Alikaa kwenye sofa kìsha akapumzika.

Huko kwenye gari, mambo yalianza kuwa malaini kama mtori wa nyama mara baada ya Zayna kuanza kuumumunya mhogo wa Chang'ombe hali iliyopelekea Dicky kuanza kutoa miguno kama nguruwe aliyeshiba.

Zayna baada ya kufanya hivo, aliona tayari umeiva na kusimama kwelikweli kama mringoti wa Tanesco ndipo alipojibadilisha na kuwa mtupu kabisa.

Dicky alitia jicho moja kama mtu mwenye chongo kisha akameza mate na kusogeleana.
Sumaku ya hasi na chanya hukutana na kunasana zenyewe punde zikiwa zimekaribiana.
Wawili hao, walijikuta sumaku zao zimegusana na kunasana huku sauti laini na nzito zikitanda kwenye gari hilo.

Baada ya shughuli pevu na ya aina yake, miili yao ilijaa chasho kama waliomwagiwa maji ndipo Zayna aliponyoosha mkono wake na madirisha yakafunguka.
Haya sasa, Dicky aliambiwa aendelee hivohivo kwa round nyingine kabla hajatowesgwa ndipo alipofanya hivo tena kwa sifa mpaka Zayna kwa mara ya kwanza akahisi sumaku inakuwa ya moto. Alitoa sauti kali sana ambayo ilipenya kila sehemu.

Sauti hizo zilimfikia moja kwa moja Kaylin ambaye alikuwa sebuleni.
Harakaharaka alikwenda stoo kisha akachukua jambia kisha akafungua mlango taratibu kwa kunyata.
Baada ya kuufungua, alijibanza ukutani ndipo alipitega masikio yake vizuri kujua wapi sauti zatokea.....

ITAENDELEA......

BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU,MUITE NA MWENZAKO

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: BINAMU 🔞 SEHEMU YA 11

KIJIJINI KWA BIBI SEHEMU YA 1-5

CHOMBEZO: MASSAGE ROOM🔞 SEHEMU YA 21