BALAA LA PENZI LA JINI PART: 03
BALAA LA PENZI LA JINI
MTUNZI: McLAURIAN
PART: 03
Ilipoishia, Dicky hakutaka kuchelewa hata dakika 1 ndipo alipowasha gari lake huku mwili wake ukiwa umechemka , kuelekea kidondoni.
Walitumia dakika kama 6 hivi ndipo.Zayna alipomuongoza Dicky kwa kumuohesga njia mpaka hapo alipoambiwa wamefika.
Mvua ilikuwa imekata japo kwa mbali manyunyu yalikuwa kidogo, Dicky akiwa haelewi nini anakiona mbele yake, gafla mwanga kama wa radi ulionekana kweye makaburi kisha Zayna akamwambia,
"Hapa ndo makazi yangu.., nashukuru sana kupata mme kama wewe wa kuniliwaza na kunipa raha, unachotakiwa ni kuja kila siku mida ya saa 3 usiku mpaka saa 11 alfajiri afu nitakuruhusu kurudi nyumbani. Hutakiwi kugoma wala kusita kwani utapotesa maisha yako.." Zayna alimwambia Dicky
"Heee!.." kwa mshangao mkubwa ,Dicky alitetemeka huku.akiwa hajui nini akifanye kwa mda huo.....
SONGA NAYO...
Zayna alinyoosha mikono yake juu kisha akaishusha chini ndipo kaburi lake lilipofunguka kwani lilikuwa limejengwa kwa cement ba mfuniko juu yake.
Sura ya Zayna ilibadilika sauti ilibadilika pamoja na kimo.chake hali iliuomuogopesha sana Dicky kiasi cha kumfanya atake kukimbia lakini alishindwa kwani miguuni alihisi kama ganzi hivi.
Mlango wa kaburi ukiwa wazi, Zayna alimsogelea Dicky ambaye alikuwa anatetemeka kwelikweli kisha akamkumbatia.
"Mama...mama..." Dicky alipiga kelele baada ya kukumbatiwa huku akiwa anahema kwelikweli.
"Unalia nini?, tumekubaliana tangu mwanzo sasa mbona hivi.." Zayna alimwambia Dicky kisha wakagusanisha midomo yao.
Dicky alibaki kimya huku machozi yakiwa yanamtoka kama mtoto mdogo. Haya sasa mda wa kuingia kaburini ulifika ndipo Zayna aliponshika mkono kijana huyo mpaka mlangoni. Wakati anataka kumuingiza ndani alikumbuka kuwa wanaoingia ndani ni wale tu waliokwisha fariki hivo kwa Dicky isingewezekana mpaka auwe kwanza.
"Baby..nakupenda sana tena sana, nina miaka 5 bila kulala na mwanaume hivo basi kazi yako kubwa ni kuniridhisha mimi wala sihitaji pesa zako" Zayna kwa jicho ka mahaba huku.akiwa anamfungua vifungo vya shati, alimwambia.
"Samahani naomba unisamehe...,niachie niondoke.." Dicky alimwambia Zayna.
Zayna alinyoosha mikono yake juu kisha akaishusha kwa mara nyingine ndipo giza totoro lilipotanda naye alitoweka kwa mda wa dakika kama 1 hivi kisha akaibuka tena akiwa amejifunika sanda.
Taratibu alimsogelea Dicky aliyekuwa amesimama humi akiwa haoni njia ya kutokea
Haya sasa, Zayna alimkumbatia Dicky kwa mara nyingine tena kisha akamwambia ,
"Baby ninakupenda sana. ".
Dicky hakujibu chochote na badala yake alikaa kimya kabisa. Mambo yalianza kuwa makubwa kila sekunde ilivyozidi kusonga mbele mpaka hapo Dicky alipojikuta amevuliwa shati lake huku kwa chini akiwa ndani ya pensi tu.
Zayna alianza kuupitisha mkono wake kwa uangarifu mkubwa mpaka ndani ya boksa ya Dicky kisha akaushika mkonga ambao ulikuwa umelala na kulegea tepetepe.
Baada ya kuushika, alianza kuuvuta taratibu kwa mbele na nyuma ndipo kwa mbali alipoona dalili za kuanza kuamka kama mlevi aliyezinduka kwenye pombe kali.
Waswahili wasema, "kama huwezi kupigana naye basi ungana naye" mda mfupi Zayna alifungua Sanda aliyokuwa amejifunga kisha akabaki mtupu kabisa kama alivyozaliwa hali iliyoamsha hisia kali kwa Dicky.
Dicky alitupia jicho lake na kuona kitumbua ambacho kilikuwa katikati ya miguu iliyoshiba kwelikweli kama bia ya safari.
Akiwa ameshika mkonga, alivuta kwa chini mpaka boksa yake ikatoka naye akabaki mtupu kabisa.
Wote wakiwa hivo, Zayna alichukua Sanda hiyo kisha akazungusha katikati yao na wote wakawa ndani yake.
Alimsogelea kijana Dicky na kumgusisha mapaja yake ambayo yalikuwa na joto kwelikweli lililomfanya Dicky asahau kama Zayna na marehemu.
Ukimya ulitawala huku kila mtu akiwa anajitahidi kutumia mikono yake pamoja na ulimi wake mpaka hapo walipojikuta miili yao imechemka vya kutosha.
Zayna ambaye alikuwa na mda mrefu kweli, alichuchumaa kwa chini kidogo kisha akapiga magoti na kuachamisha kinywa chake ndipo alipoanza kuumumunya muhogo wa chang'ombe mpaka ukaanza kutema mate wenyewe.
Dicky alikunja uso wake wa hisia za aina yake kisha akamwambia
"Ohhh...inatosha oonhh..shiii.."
Zayna baada ya kusikia mlio huo, alitabasamu kisha akauachia muhogo huo na kusimama huku skonzi zake zikiwa zinagusana uso kwa uso na kifua cha Dicky hali iliyozidisha udamvuudamvu kujikuta sehemu zao nyeti zikigusana na kuzama kabisa kwa takribani dakik kama 10 hivi ndipo muhogo ulipotoa uteute kwa round ya kwanza.
Dicky alionekana mwenye kuchoka sana huku akiwa ametoa ulimi nje kama mbwa aliyeachwa na swala.
"Baby tuendelee bado sijasiridhika.." Zayna alimwambia Dicky huku.akiwa anachezea muhogo wake.
"Jamani siku nyingine maana leo nimechoka kweli..." Dicky alimjibu Zayna.
"Hee! yaani kimoko ndo umechoka hivi..., basi tulia kwanza upunge upepo halafu tuendelee.
"Tufanye siku nyingine maana nataka niwahi kwani mke wangu sijamuaga"
"Hee! kumbe una mke! Si ulisema huna mke na mi ndo mke wako sasa imekuwaje! Walahi kama ulinidanganya ili unichezee kama unavyowachezea wengine basi imekula kwako. Wewe ni mme wangu na nitakutumia kadri ninavyotaka na nikijua kama una mke, nitakuua ili wote tuishi kwenye nyumba hii ya milele..' Kwa mshangao mkubwa Zayna alimwambia Dicky.
"Sorry nakutania mimi sina mke wala sijawahi kuwa na mke hivo usiniue.." Dicky akiwa ametoa macho na kuitazama mbingu, alimwambia Zayna.
"Sawa ila ukigundulika basi ndo mwisho wako..."
Baada ya mazungumzo hayo, gafla simu ya Dicky iliita mnano mida ya saa 7 isiku hali iliyoleta taharuki na wasiwasi mkubwa kwa wawili hawa.
Dicky aliiacha simu hiyo bila kupokelewa huku akijifanya kama hasikiii hivi.
Kwa mara ya 2 simu iliita tena ndipo Zayna alipomsogeleana kumwambia Dicky,
" Baby..nani anapiga simu usiku huu, na kwanini hupokei.." alimuuliza.
"Kuna mtu msumbufu kweli huwa ananidai elfu 30 lakini kila siku ananipigia simu ndo maaba huwa sipokeagi simu zake halafu mda wake wa kupiga ndo huu ," kijasho chembamba kikiwa kinamtoka, Dicky alimwambia Zayna.
"Ebu nipe niongee naye kama anakudai basi hiyo elfu 30 nitailipa mda huu ili asiendelee kukusumbua my baby" Zayna alimwambia Dicky.
"Hapana wala haina shida nitamlipa mwenyewe ila sio leo wala kesho" Dicky alimwambia Zayna.
"Hapana, naomba simu hiyo mara moja ili nimlipe hela yake maana ni haki yake na aliitolea jasho lake hivo anastahili kulipwa mara moja" zayna aliingiza mkono kwenye suruali ya Dicky iliyokuwa pembeni kidogo kisha akaanza kuitoa taratibu kwani suruali ilikuwa imejikunja sana.
Wakati anamalizia kuitoa, simu iliita tena kwa mara ya 3 ndipo Dicky alivyoamua kutimua mbio huku akiwa mtupu na kumuacha Zayna akiwa anacheka na kushangaa ...
JE NANI ANAPIGA SIMU?
JE DICKY ATAFANIKIWA KUTOROKA?
JE ITAKUWAJE?
Usikose sehemu ijayo.....
BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU, MUITE NA MWENZAKO.
Maoni
Chapisha Maoni