MCHORA KUCHA PART 09
MCHORA KUCHA
MTUNZI: McLAURIAN
PART: 09
ILIPOISHIA,
Mr. Kucha baada ya kuingia chumbani, alishangaa kumuona Lisa akiwa amejigalagaza kitandani hali iliyomfanya abaki ameduwaa...
SONGA NAYO...
"Baby ingia tufunge mlango" Lisa akiwa anamwaga tabasamu, alimwambia Mr. Kucha .
"'Unataka nifie humu ndani?!, tumeokoka halafu hutaki kusikia!? Hee!" Mr. Kucha akiwa anatetemeka, aliongea kwa sauti ya chini sana.
"Baby mimi nakupenda sana na wala siko tayari kukuacha. Mme wangu nilimpendea hela tu lakini hakuwahi kunifikisha kibo na Mawenzi"
Lisa aliongea kisha akatoa kanga na kubaki na nguo ya ndani tu.
Mwanga hafifu chumbani humo, ulimulika ndipo Mr. Kucha alipoanza zoezi zima la kuvua mavazi yake ambayo yalimchukua kama dakika 30 hivi.
Baada ya kumaliza, alipanda kitandani ndipo Lisa alipomkumbatia huku akidai kuhisi baridi.
Ndani ya dakika chache sana, Mr. Kucha alijikuta anasahau yote ndipo akili yake ilipoanza kuwaza kwa mparange.
Ndizi ambayo iliuwa imepinda kidogo kuelekea kitovuni, ilizidi kuvimba mara baada ya chuchu za Lisa kumgusa kwenye kifua chake kilichokuwa na garden love kwa mbali.
Ama kweli usithubutu kuonja asali kwenye mzinga wenye nyuki kwani itakulazimu kurudi tena.
Ndani ya mda mfupi, walianza kuvunja amri ya 6 ya mwenyezi Mungu huku chaga zikiwa zinasikika zikitoa mlio hali iliyomfanya Noel ashutuke kwani alikuwa hasinzia.
Polepole akiwa ananyata kama kinyonga, alifika mlangoni hapo lakini bahati mbaya sauti hizo zilikata .
"'Hee! Nilikuwa naota au?" Aliongea kimoyomoyo kisha akarudi chumbani mwake
Baada kama dakika 10 hivi, miguno na kelele za chaga zilisikika tena ndipo Noel alipotega masikio yake vizuri lakini hakuamka.
Miguno hiyo ilimfanya hali yake iwe mbaya sana mpaka usiku akajikuta anaingia katika ndoto iliyochafua boksa yake.
Alitamani kumuita Lisa lakini aliogopa Shemeji yake yaani Mr. Kucha .
Mnamo mida ya saa 11 za alfajiri, walipata cha asubuhi kisha wakaenda kuoga wote kabla ya Noel kuamka.
Kwa bahati mbaya sana, Mr. Kucha wakati ametoa kichwa chake nje, aligongana uso kwa uso na Noel ndipo alipoinamisha kichwa chini na kukirudisha ndani.
"Hee! kumbe sura yake yuko hivi!, ama kweli siamini kama mwanaume kabisa. Ngoja nikae hapa nimuone vizuri.." alijisemea
Wakiwa ndani ya bafu, hali ya taharuki iliwajaa ndipo Lisa alipomfunga kanga kichwani kama mwali lakini shida ikaja kwa wowowo na miguu yenye manyoya .
Lisa alitoka akiwa wa kwanza ndipo alipokutana na mme wake,
''Unatafuta nini hapa?, shemeji yako anataka atoke ila kaniambia kakuona na hawezi kutoka maana amejifunga kanga tu. Afu sio ustaarabu mme wangu.."
Maneno hayo yalimchoma mtima mpaka ndani ndipo alipotoka sehemu hiyo huku Lisa akimsindikiza mpaka chumbani.
Wakiwa chumbani, Lisa alikohoa kohozi la kulazimisha ndipo Mr. Kucha aliposikia ishara hiyo kisha akafungua mlango na kwenda chumbani mwake.
Naye Noel baada ya kukaa kwa mda mrefu bila huduma, alifunga mlango kisha akamuomba Lisa.
Lisa alikuwa amechoka kwelikweli huku kipusa kikiwa kikavu kama kabisa hali iliyomfanya akatae kwa mda huo.
"Mke wangu mbona wanifanyia hivo..?"
'"Najisikia tumbo langu kuuma labda badae likikaa sawa.."
"'Hata dakika 5 tu..."
"'Hapana mme wangu mbona hunihurumii?, tumbo linauma sasa kwanini nikukatalie wakati mali ni yako?"
Noel alikaa kimya kisha akafungua mlango.
Lisa alipokuwa amekaa, alijikuta amepitiwa na usingizi huku akiwa anaota asubuhi kabisa.
Noel wakati anaingia chumbani, alishangaa kumuona amelaa ndipo alipoamini kuwa anaumwa kweli.
"'Mke wangu...mke wangu..., amka."
Lisa aliamka huku akiwa haelewi kwani usiku mzima hakulala.
"'Tumbo bado linaendelea kuuma...?"
"'Kidogo kwa mbali limepungua..."
"Amka sasa umuandalie mgeni chai..."
"'Ayaa baby..."
Kichovu sana, aliamka kisha akavaa vizuri na kuanza kuandaa chai.
Wakati anaandaa chai, Mr. Kucha alianza kujiremba kama mwanzo huku akijiangalia kwenye kioo.
Baada ya mda chai ilikuwa tayari kisha Mr. Kucha akiwa amedamshi kwelikweli akajongea sebuleni huku akiwa ameinamisha uso wake chini.
"Shemu unaaibu kweli..." Noel aliongea.
"Hapana ndo nilivyo hata ukimuuliza dada" Mr. Kucha aliongea huku hofu ikianza kumjia tena.
Wakiwa wanaendelea kunywa chai, gafla mlango ulisikika ukigongwa.
Noel alinyanyuka kisha akafungua mlango ndipo alipokutana na sura ya Fetty.
"'Hee! Unashida gani asubuhi hii.?." kwa hasira alimuuliza Fetty.
"Mhh...kwani nimekukosea nini?, " Fetty aliguna...
Kitendo cha kumfukuza Fetty kilimfanya Lisa kuhisi jambo ndipo alipomwambia,
"'Mme wangu unamfukuza wa nini?, shoga angu ebu njoo tunywe chai.."
" Nilikuwa namtamia karibu.." Noel alijisafisha huku roho yake ikiwa imejaa hasira.
"'Asante.." Fetty aliingia ndani kisha akakaa karibu na Mr. Kucha.
Fetty bila kujua nini kinaendelea, alimuangalia Mr. Kucha kisha akacheka kwani alikuwa anamfahamu vizuri.
"'Rafiki yangu yaani umekuwa kama mwanamke kidogo nikusahau..daah yaani hahaha" Fetty aliongea ndipo....
JE ILIKUWAJE?
ITAENDELEA..........
BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU
Maoni
Chapisha Maoni