MCHORA KUCHA PART 05
MCHORA KUCHA
MTUNZI:McLAURIAN
PART:05
ILIPOISHIA,
Aliangalia namba hiyo ambayo ilikuwangeni
ndipo alipobaki njia panda kati ya kuipokea au
la...
SONGANAYO..
Noel aliweka simu chini huku akiwa anawaza
ndipo simu ilipoka tayenyewe.
"'Kwanini hapokei simu?" Fetty alijisemea
mwenyewe kwa uchungu mkubwa.
Alimpigia tena kwama ranyingine lakini simu
ilizidi kuita kwa muda mrefu.
Uso wake ulijikunja huku akiwa amesubiria
simu ipokelewe.
Noel kwama ranyingine alisikia mlio wasimu
ukiunguruma ndipo alipoishikakisha akasema,
"'Nani huyu anapiga simu muda huu!?"aliongea
kwa hasira kwani alikuwa amechoka.
Alipokea simu huku akiwa na shauku yakujua ni
nani anapiga usiku huo na kuna shida gani ?'
"Heloo..."aliipokea..
"'Mambo..." Fetty aliitikia.
"'Safii sorry naongea na nani?" Alimuuliza.
"Jamani hujanifahamu mpaka muda huu!"
"'Sijakufahamu maana imekuja namba ngeni...:"
"Ohh ni mimi Fetty"..
"'Ohh sawa vipi."
"Salama za wewe..."
"'Nzuri nambie maana umenishutua kweli.."
"'Poa tu uko nyumbani?"
"'Mbona waniuliza hivo?
"'Nauliza tu ebu niambie upo nyumbani?"
"Hapana niko Tanga kikazi hii ni wiki ya 3 sasa"
"'Mhhh mbona kama nimekuona nyumbani
kwako?"
"'Saa ngapi na lini hiyo?"
"'Mida ya jioni..."
"'Hapana sipo nyumbani kwani kuna nini?"
"'Daah nashindwa hadi nianzie wapi..."
"Nini?"
"Hivi kweli haupo nyumbani..?"
"'Sipo nyumbani mbona unanilazimisha nikujibu uongo""
"Basi poa lakini.. mmh..!"
"'Mbona waguna?"
"Yaani nashindwa hata kuamini.."
"'Ebu sema shida yako maana nataka kulala
kesho naamkia kazini.."
"Kwahiyo sasa Mke wako kaolewa Mme
mwingine?"
"'Hee! Unamaanisha nini!"
"'Hivohivo nilivyosikia.."
"'Kwamba ameolewa?"
"'Ndiyo maana nimemuona naye nikadhani ni
wewe afu yaani anampigisha kelele mpaka
majirani hatulali yaanin."
"'Unaongea ukweli!.."
"Ndiyo hata ukija muda huu utamkuta naye ndani
.."
Baada ya kuambiwa hivyo,Noel alikata simu kwa
hasira kali kishaa kainamisha kichwa chini.
Usiku huohuo,aliandika barua ya dharura
ambayo iliituma kwa njia ya email ilikupata
likizo ya siku 3.
Kijasho chembamba kilimtoka huku akiwa
anaongea peke yake,
"'Kama ni kweli!..kama ni kweli!,basi wote
utakuwa mwisho wao wakuliona jua hapa
duniani"
Alifungasha nguo zake kwenye kibegi chake
kisha akalala lakini usingizi hakuupata.
Kwa mara ya kwanza,Noel alianza kulia peke
yake tena kwa hasira mithili ya mtoto mchanga aliyenyimwa nyonyo.
Asubuhi na mapema, Noel ombi lake lalikizo ya dharura ya siku 3,lilipita ndipo alipoanza safari ya kwenda stendi kuu ya mabasi Tanga.
Alipo karibia stendi,alinunua kisu kikali sana
kisha akakifunga vizuri na kukiweka kwenye
kibegichake.
Mnamo mida ya saa 2 ya asubuhi,safari ya
Tanga to Dar ilianza huku Noel akiwana hasira
mpaka anatetemeka.
Huko nyumbani kwa Lisa,mahaba yalizidi kupamba moto mara baada ya kuonja sukari
tamu ya Mr.Kucha mpaka wakawa wanashindawa kulala muda wote kwani hela ilikuwepo.
Mnamo mida ya saa 4za asubuhi,Fetty
alisogea mdogo mdogo mpaka kwa Lisa kisha akatega masikio yake mawili ndipo kwa mbali
aliposikia kama kuna watu wanaongea.
"Kumbe bado yupo!" Alijisemeakisha akashika
simu yake na kumuandikia Noel meseji,
"'Kama utaweza panda gari binafsi maana muda
huu bado yupo wana....."Noel alisoma meseji hiyo kisha chozi likamtoka
ndipo mtoto aliyekuwa amekaa na mama yake
pembeni mwa Noel alipomtizama kisha
akasema,
"'Mama!..mama"mtoto alimuita mama yake.
"Nini wewe mtoto?"Mama alimjibu.
"Baba huyu lia..,lia baba"
Maneno hayo aliyasikia Noel ndipo alipojikaza ili kutuliza huzuni ya mtoto huyo huku akijifanya
mdudu kamuingia jichoni.
Hayawihayawi sasa yalikuwa marabaada ya
safari ya masaa kadhaa kufikia tamati na Noel kushuka.
Alipandabajajikishaikampelekampaka
nyumbani.
Mdahuo Mr.Kucha alikuwaa nacheza mziki
huku wakiwa wanabambiana chumbani kwa
mdundo wa bufa kali ya LG watt3000.
Noel alifika getini kimya kimya na bahati nzuri
alikuta mlango wa geti uko wazi.
Aliusukuma mlango taratibu kisha akaingia
ndani.
Alichomoa kisu chake kwa hasira kali kisha
akakichoma chini kwenye udongo kisha
akakichomoa na kupiga hatua.
Taratibu alipiga hatua chache kisha akafika
mlangoni naku...
JE ILIKUWAJE?
ATAPONA MTU AU HAPONI?
ITAENDELEA......
BAKI HAPA HAPA KWENYE APP YETU
Maoni
Chapisha Maoni