MTOTO NISIE NA HAKI!!!!

MTOTO NISIE NA HAKI!!!! Hadithi fupi ya kusisimua na kufundisha. MTUNZI..... EMMANUEL MRISHO MWANDISHI ...... EMMANUEL MRISHO SIMU....0768753999 Kwa majina naitwa mtoto maana mpaka sasa sina jina lasimi!!! Maisha yangu ni ya tabu sana toka nilipo wajuwa wazazi wangu kama miungu wangu japo hawakunithamini kwani sikuziliwa kabisaa!!! Baba alinipenda saaana wakati sikujitokeza na mama alitamani kuniona japo hakunitaka !!!!! Nakumbuka baba na mama walikuwa hawajuani kabla ila nilikuwa kwa baba kwa miaka mingi sana japo hakuniona 😓 na mimi nilitamani kumuona. fikla za baba zilikuwa kumpata mama atakae pendana naye sana kwani baba alitamani nihishi nae kwa upendo.miaka ilizidi kwenda baba akampata mama!!! Duuuuh!!!!! Nilifurahi sana na mimi kumpata mama kwa siku ya kwanza.nilikaa kwa mama kwa wiki mbili japo yeye hakujua kama mimi nipo karibu yake......sitosahau n...